Joto sehemu za siri na korodani kuning'inia chini sababu ya joto

Joto sehemu za siri na korodani kuning'inia chini sababu ya joto

jonas255

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
225
Reaction score
110
Jamani ili tatizo silielewi kila ninapo vaa boxer au suruali sehemu za siri zinakua na joto sana na nikivua nguo kende yanakua yamelegea kama mlenda.

Je hili tatizo lina madhara gani na je nifanye nini ili kuliepuka?, maana mwezi wa nne huu natafuta mtoto lakini sipati.
 
Jaman ili tatizo silielewi kila ninapo vaa boxer au surual sehem za siri inakua joto sana na nikivua nguo mapumbu yanakua yamelegea kama mlenda

Je hili tatizo lina madhara gani na je nifanye nn ili kuliepuka... maana mwezi wa nne huu natafuta mtoto lakini sipati...

Kila kukicha magonjwa hasa ya zinaa yanaongezeka..yawezekana ni ugonjwa,pia kuna fungus ambazo uwezikuziona kwa macho yawezekana ikawa sababu,nenda Hosp brother
 
Jaman ili tatizo silielewi kila ninapo vaa boxer au surual sehem za siri inakua joto sana na nikivua nguo mapumbu yanakua yamelegea kama mlenda

Je hili tatizo lina madhara gani na je nifanye nn ili kuliepuka... maana mwezi wa nne huu natafuta mtoto lakini sipati...

Nenda hospitali Mkuu wewe na Mwenzako mpate Vipimo vya Uzazi na Magonjwa ya Zinaa"!!
 
pole...usivae boxer ya kubana na suruali ya kubana pia....
 
Guys sina ugonjwa wa zinaa ila joto sehem ya siri ndio inaletea mapumbu kulegea... hili tatizo sielew ndio maana nimeomba msaada... narudia tena sio ugonjwa wa zinaa
 
Mapumbu kusinyaa wakati wa joto ni kawaida, chakufanya usivae chupi au boxer ya kubana. Pia usiku au mda ambao uko free usivae underware, acha dudu ipumue!
 
kawaida wakat wabarid mapumbu hupanda juu ili kuhfadh joto na wakati wajoto dude hizo hushuka chin ili mbegu zisiharibiwe najoto ,hivo nikawaida pendelea kuvaa pensi ili hewa iwe zakutosha maeneo hayo nahapo ndipo utapata mtto
 
BOXER ZIMEPIGWA MARUFUKU BAADA YA KUGUNDULIKA KUWA ZINA MADHARA INAWEZEKANA HIYO NI MOJA YA SIDE EFFECT!
Usivae boxer!!!
 
Back
Top Bottom