Journalist anatafuta kazi

Ingia mtaaani tafuta habari kali kali, weka blog na youtube na insta uanze kidogo kidogo
 
Journalism naonaga ni fani nayojiuza hivii. 🤔🤔, Yani kidogo ni ina urahisi wa kujiajiri.

Ila atapata mkuu, mkiongeza nguvu kwenye kuzitafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…