Journey Yangu Kimasomo – Kutoka Mtaa Mpaka Masters ya Wildlife Management & Tourism USA, na bado sijajulikana!

Journey Yangu Kimasomo – Kutoka Mtaa Mpaka Masters ya Wildlife Management & Tourism USA, na bado sijajulikana!

Whats your point?
Wengine tulikua wavuta bangi tu,
Ukituingiza chumba cha mitihani utakoma.
Hizo GPA zako unazoandika hapa we ni kilaza Na unaonekana mtoto wa mama tu uliyelelewa kishua.
Wenzio tulizama humo man-amu unapiga masomo unachomoka unashukuru Mungu unasonga mbere.
Wewe matokeo yako kimaisha unafundisha watu kurina asali na kilimo bora.
Sisi elimu ya mtaa tunakaa na watu 40+ tunawafundisha jinsi ya kujikwamua huku duniani.
Sisemi mengi ila shukuru sana wazazi wako waliokusimamia.
Sisi tuliopiga Man alone fight for life from 11 years old
hautakuja kutushawishi Kwamba unatoboa tu km unavyoainisha hapa.
Na bado unasota, na nafkiri wazee wamekuacha ujiongeze.
Maana hapo home hamna ajira ya mazingira na kilimo itakuokoa kutoka umaskini na hizo diploma na gpa zako.
 
Title ya thesis si kitu ya kugoogle kama lyrics za Drake, bro. Ilikuwa ya TEKU, academic legit—sio clout chasing material. Kama hujaiona, maybe it ain't meant for the streets but for real scholars. Stay woke, don’t hate—educate!
Kama ni chuo cha uhakika huwa zinawekwa ila hii yako itakuwa TEKU wameifigisu.....
1746226262711.png
 
Shida yako kubwa ni tabia(ego) sio elimu, kuajiri mtu wa design yako nikujitafutia matatizo
 
familia ya JamiiForums,
Wacha niwaweke sawa kidogo kuhusu safari yangu ya elimu – from the mud to the Masters, bila shortcut, bila kiki, bila kubebwa. I’ve been grinding in silence, and trust me this brain got WiFi – kila mtu niliwahi kufundisha anaeza testify, nikiingia darasani mtu anaglow up kisomo bila stress. Let’s roll the tape.


Primary School – Msingi: The Foundation Zone

Nilisoma kwa bidii sana kuanzia darasa la kwanza hadi la saba, nikiwa na kiu ya maarifa. Kwenye final exams, nilifunika mada zote, lakini hasa Hisabati (Mathematics), Sayansi (Science) na Maarifa ya Jamii ziliniweka juu – top student wa darasa bila kugongwa. Kichwa kilikuwa kinawaka kama CPU yenye overclock, no cap.



O-Level – Uru Seminary: Vibe ya Elimu na Discipline

Hapa ndipo kichwa kilianza kuchorwa rasmi – nilivunja rekodi kwa kupiga Division One ya pointi saba (7). Masomo niliyoyatesa nayo balaa ni:

Physics (ilikuwa nyanya mbele yangu)

Biology

Mathematics

Geography (kwa hili nilikuwa kama Google yenye miguu)


Kila mwalimu alijua, ukitaka mwanafunzi wa kuelewa chap, mtoe kwa mimi. Nilikuwa street smart + book smart.


A-Level – Tabora Boys: The Big League

Tabora Boys ni shule ya wanaume wa kazi – na mimi nilikuwa kwenye top tier. Nilichukua PCB (Physics, Chemistry, Biology) – na bado nikakata Division One tena bila kupumua. Physics na Biology zilikuwa easy smoke. GPA yangu ilisimama imara kama Iron Man suit – no scratches. Nilikuwa na GPA ya juu ya 4.8 out of 5.0, walimu walishindwa kunielewa, wengine walinipa nickname “Professor wa Tabora.”



University – Mastermind Level (USA)

Nilisoma Bachelor of Science in Wildlife Management and Tourism katika chuo kinachoheshimika sana huko Marekani – University of Montana, mojawapo ya vyuo vikuu vinavyotoa elimu bora sana katika masuala ya Conservation Science, Wildlife Ecology, and Sustainable Tourism.

GPA yangu ya mwisho ilikuwa 4.9/5.0 – almost perfect. Thesis yangu ilipewa distinction na ikatumika kama reference kwenye departments zingine. Niliandika kuhusu:





Bro! That paper was fire – mpaka dean alinipigia appreciation call.


Masters – The King’s Degree

Nilichukua Master of Science in Wildlife Management and Tourism (yeah, that’s the full flex) – ambapo nilispecialize kwenye:

Wildlife Conservation Policy

Tourism Economics and Community Integration

Habitat Restoration


Kazi yangu ya mwisho ilihusu namna utalii unaweza kuwa suluhisho la kiuchumi kwa vijiji vya pembezoni mwa mbuga – na ilipewa nafasi kwenye journals za kimataifa. GPA? Sitaki niwachoshe – solid 4.9/5.0 again.


Now – Ground Hustle: Tourism Plug in the Shadows

Sasa hivi nafanya shughuli zangu binafsi za utalii – ndani ya Tanzania na Afrika Mashariki. Sina mfadhili wala kiki, niko undercover kama Jason Bourne wa Tourism. Nimejifunza kuwa naweza kufundisha mtu yeyote na akaelewa haraka sana – hata wale waliowahi kuchukia books, wakikaa na mimi wanageuka scholars.

Niko ready kuwatoa watu mtaani hadi chuo kwa knowledge tu – from streets to stats.


Kwa Ufupi: Hii Ndio Kichwa Cha Mtaa Na Classroom

Primary: Balaa kwenye Science & Math

O-Level (Uru Seminary): Div 1 – 7 Points

A-Level (Tabora Boys): Div 1 – PCB Killer

University (University of Montana - USA): Wildlife Management & Tourism – GPA 4.9

Masters: Same course, GPA 4.9 again

Sasa: Self-made tourism consultant, educator, and visionary – still underrated



"Don’t sleep on me – najenga legacy kimya kimya, kama simba anayewinda gizani."

Peace out – mwenye DM ajue sina kiki, sina kiki, ni elimu tu na kazi.
Kwa hiyo mkuu mboyzia mwenzangu pale Tbr boys ulipata GPA sio division
 
Back
Top Bottom