Abayesu bayesu
Senior Member
- Jan 29, 2018
- 119
- 124
Ukitukana wanawake na mama taking yumoUsidharau wanawake mtoto mdogo!
Hao ndiyo waliokuleta duniani na kukulea mpaka hapo ulipofika!
Epuka LAANA!
Mungu alikuwa na nia njema kuwaumba wanawake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitukana wanawake na mama taking yumoUsidharau wanawake mtoto mdogo!
Hao ndiyo waliokuleta duniani na kukulea mpaka hapo ulipofika!
Epuka LAANA!
Mnaanza kwa kusema bure lakini watu wakifika huko mnaanza jamani mchango wa kumchangia mwalimu fedha ya nauli,mara kulipia sehemu ya ukumbi etc,Kama ni Bure kweli nyie mnafiadika na nini? au ni kazi ya kanisa mnalipwa na mungu?#WANAWAKELIVETZ tumeandaa program ya Kufundisha ujasiriamali, DARASA hili la UJASIRIAMALI litatolewa bure kabisa, mtaweza kujifunza
DARASA hilo litatolewa na walimu wenye ujuzi wa kutengeneza bidhaa zenye ubora wa hali ya juu. WOTE MNAKARIBISHA SANA.
- Ufugaji, kilimo na biashara.
- Utengenezaji wa sabuni ya mche.
- Utengenezaji wa sabuni ya maji ya kuogea, kufulia na chooni
- UTENGENEZAJI WA BATIKI
DARASA ilo litafanyika Dar-es-salaam Tegeta, Nyuki {ukitokea sehemu yoyote ya Dar-es-salaam panda magari yanayoenda Tegeta, Nyuki kisha shuka mwisho wa gari. Harafu utapiga simu 0783137777 ili upewe maelekezo ya kufika.
KWA MAWASILIANO PIGA 0783137777