Hivi ni Venja au Nelly?!
Ha ha ha ha ha ha,Hao jamaa ni noumer kwa kunyonga Watoto!! Hongera kwa kutokuua dada maana siku hz its customary, Mungu akubariki wewe na mtoto wako!!Maria stopes wameendelea sana, kutoka utoaji mimba hadi uzalishaji.
Nakufananisha au?Nadhani Dawomenizer atakuwa ni kakaakoHii habari si ya kweli