Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishamwagana na Nelly baada ya ndoa ya kanisaNakumbuka kama huyu mdada alikuwa kaolewa na DJ Nelly lakini nilisikia waliachana zamani sana. Mwenye taarifa sahihi atueleze huyu mtoto sasa ni wa DJ Nelly au alipata bwana mwingine????
Hongera sana...nilikuwa nina nina pishana naye sana nyumba za wageni...Hongeara sana
Hivi kumbe Dj Venture ni Mchagaeeeee???
Kilewo au Kileo?!
Hongera mwaya...
Alikuwa na nani??Hongera sana...nilikuwa nina nina pishana naye sana nyumba za wageni...Hongeara sana