Joyce Kiria ajifungua Baby Boy

Joyce Kiria ajifungua Baby Boy

Hongera sana...nilikuwa nina nina pishana naye sana nyumba za wageni...Hongeara sana
 
Nakumbuka kama huyu mdada alikuwa kaolewa na DJ Nelly lakini nilisikia waliachana zamani sana. Mwenye taarifa sahihi atueleze huyu mtoto sasa ni wa DJ Nelly au alipata bwana mwingine????
Alishamwagana na Nelly baada ya ndoa ya kanisa
 
Hongera Joyce. Jamani huko Marie stopes wanatoa vizazi kirahisi kuliko mimba.
 
huyu si yule mnenguaji wa pepe kaleeeeee? manake huku ipeja bhatolwa hatuna tv................
 
Back
Top Bottom