Joyce Kiria alalamika hadharani kunyimwa "Dyudyu"

Safi sana Manka
Hukuja mjini kukimbizana na Ukuta sijui serikali

Ni pesaa tu
 
Ile kitu haina mambo ya U-Singo Mkuu, unless pale pazibe labda
Asingemlalamikia EX wake... apate anakopataga..... Anayoyasema leo ni madogo sana kulinganisha na aliyokwisha msema...
 
Kati na Mangi Kimambi na J.Kiria yupi aliyedata zaidi? J.Kiria kwa Mangi Kimambi ni cha mtoto, lkn ndo anayeongoza sera za chadema sasa hivi hata Mashinji kafunga safari ktk TZ kwenda USA kumfwata kuomba ushauri, ...
We nae, Mange alishasema hana chama. Sio kila anaipinga serikali ni CHADEMA, embu jiongeze.
 
Mnaanza kwa kusema bure lakini watu wakifika huko mnaanza jamani mchango wa kumchangia mwalimu fedha ya nauli,mara kulipia sehemu ya ukumbi etc,Kama ni Bure kweli nyie mnafiadika na nini? au ni kazi ya kanisa mnalipwa na mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…