Kileo alikua na haki kumtaliki huyu aliyeamua kujivika uccm ili kutetea kipindi cha wanawake live, mke bora husimama na mumewe hata kwa kulala njaa badala ya kujipekecha mdomo gizani
Afadhali huyu kulko wa sugu yani yule ni kimeoooooo klchoptiliza kabsaaaaHuyu na yule wa Sugu akili zao zinafanana
Jidanganye tu huyo dada ameshaolewa mara 2 kanisani
Mkuu ngoja niongeze list...Bado ninadiriki kusema kuwa, katika Mashariki mwa Afrika kwa Karne hii hawajawahi kuwepo Wanawake Wapumbavu na wasiofaa kuigwa na jamii kama:
1) Joyce Kiria
2) Aliyekuwa Mke wa Sugu
3) Flora Mbasha
Huyu Joyce Kiria ndio hatari zaidi na ana stress na roho mbaya zilizoanzia Utosini mpaka katika nyao. Pia anawachukia sana Wanaume na kuwaponda bila critical reasons.
Nikikumbuka tu alivyomuaibisha yule Mzee wa kichaga wa kule Rombo na kumuanika nchi nzima kwa personal issues, namwona hajielewi huyu Mwanamke.
Ni bora usioe kabisa kuliko uoe aina hiyo ya wanawake.
Itasaidia nini? Wewe umesema hawez kuolewa ndoa mbili kanisan? Kkkt na RcMakanisa yapi?
Alishatimutumuliwa talaka na DJ NellyBado ana ndoa yake. Ndoa za kanisani hazina taraka.
Afu kumbuka elimu yake huyo ilikua ni darasa la 7 na alikua beki 3 kabla
Kamanda kashindwa kumridhisha.