Joyce Kiria ameachana na mumewe?

Joyce Kiria ameachana na mumewe?

Wanawake wa video!! Aha ha ha ha, wanawake show nani atavumilia?! Peleka huko mbali utawangwa kichwa bure
 
Huyu na Mange Kimambi tofauti yao mmoja yupo Marekani na mwingine yupo Tanzania.
 
Bado ninadiriki kusema kuwa, katika Mashariki mwa Afrika kwa Karne hii hawajawahi kuwepo Wanawake Wapumbavu na wasiofaa kuigwa na jamii kama:

1) Joyce Kiria
2) Aliyekuwa Mke wa Sugu
3) Flora Mbasha

Huyu Joyce Kiria ndio hatari zaidi na ana stress na roho mbaya zilizoanzia Utosini mpaka katika nyao. Pia anawachukia sana Wanaume na kuwaponda bila critical reasons.

Nikikumbuka tu alivyomuaibisha yule Mzee wa kichaga wa kule Rombo na kumuanika nchi nzima kwa personal issues, namwona hajielewi huyu Mwanamke.

Ni bora usioe kabisa kuliko uoe aina hiyo ya wanawake.
Mkuu ngoja niongeze list...

Wema
Lulu
Wolper
Mobeto
Giggy
................
.........
..... Ni mapepo hayo.
 
Huyu nafikiri sasa amechanganyikiwa kabisa..
 
Anae muoa huyu wote wanakuaga
Waokota makopo
 
Jamaa alipookota huu mzigo aliuahidi ubunge wa viti maalum ikabuma.
 
Wabongo Bwana. Ulipoitoa hiyo picha angalia post ya nyuma yake, mbona yupo na mumewe.
 
TATIZO LAKE SHULE HAJAENDA. STD VII.

MUMEWE ALIVYOKOSA UBUNGE WA MWANGA, ALILALAMIKA KUWA NDOTO ZA 'SHOPING ZA DUBAI' ZIMESHNDKANA. SASA HUYO NI MKE KWELI?
 
Afu kumbuka elimu yake huyo ilikua ni darasa la 7 na alikua beki 3 kabla

Sidhani kama ni busara kuanza kumchambua Mtu kwa ama Kigezo cha Elimu au Kazi yake Mkuu. Muogope Mungu wako hapo hapo ulipo. Wapo Watu wenye Elimu na Kazi zao hapa nchini / duniani lakini ni wa ' hovyo hovyo ' tupu tena linapokuja suala zima la Ndoa / Mahusiano.

Tumjadili tu Yeye kama Yeye na siyo sijui Elimu au Kazi yake au Mlengo wake wa Kisiasa kama ambavyo kuna Mtu hapo juu nae nimemuona akimchambua kutokana na Itikadi yake ya Kisiasa lakini akasahau au akajisahaulisha tu kwamba hata Yeye katika hiko hiko Chama anachokipenda kuna ' Skendo ' huko kibao tena za aibu na ambazo Sisi wa upande wa pili tunazijua / tunazo ila tu Kibinadamu tunastiriana / tunafichiana tu Siri.

Huwa nachukia sana Binadamu anayembagua au anamdharau mwenzake hasa kwa Kigezo cha Elimu au Kazi au Dini au Itikadi za Kisiasa na Ukabila.
 
Back
Top Bottom