Joyce Kiria ameachana na mumewe?

Mbona umepanic mkuu. No research no right to argue
Mbona tunalishana maneno,nimesema ndo ya kanisani haina talaka,
Itasaidia nini? Wewe umesema hawez kuolewa ndoa mbili kanisan? Kkkt na Rc
 
Nimekua nikiona post zake mara kwa mara akisema single life na akishauri wanawake wenzake kutokukaa kwenye ndoa zenye matatizo,hizi statement mbili hizi zinaonyesha kuna walakini kwenye marriage yake.
View attachment 594454
Hivi kwanini siku hizi...
1. Ndoa zikivunjika tu, wanawake wanakimbilia mitandaoni..??!
2. Ndoa zikivunjika tu wanawake wanageuka kuwa wanafalsafa mitandaoni..??

Ngali K
 
Mbona umepanic mkuu. No research no right to argue
Mbona tunalishana maneno,nimesema ndo ya kanisani haina talaka,
Nimeshakujibu! Ameolewa na Dj Nelly na Kilewo kanisani
 
Mimi sishangai, nilimgundua ni dizain ya mama Sasha (mzazi mwenzie na Sugu) pale alipoanza kulalamikia pesa aliyotumia kwenye kampen za mumewe kule Mwanga ktk mitandao ya kijamii.
 
Tangia lini ' Kibamia ' kikamridhisha Mwanamke Mkuu? Mwanamke anataka Mkuyenge / Mpini wa maana na siyo Kimkuyenge / Kipini kama ambacho nahisi ' Kamanda ' anakimiliki.
OK kibamia hakimridhishi mwanamke , Ila wewe kinakuridhisha eti??
 
Chadema hakuna Mwanaume Alpha, wote ma Beta!
Kama yule wa pale jiji la wanaume wa dar si ndio mkuu! Ila chadema sijaona mwanaume aliyelegea makalio kama yule wa kwenu au vipi![emoji1]
 
Siasa za upinzani uwe na pesa. La sivyo mwanamke kwenye malego ata sepa tu. Siunakumbuka zile tetesi za kukosa ubunge alivyo lalamika bibie? Kukosa Pass port Na nafasi za kwenda Dubai .. Mwwnaume kila siku Ufipa pesa hakuna. Nasepa my frnd
 
Nimekua nikiona post zake mara kwa mara akisema single life na akishauri wanawake wenzake kutokukaa kwenye ndoa zenye matatizo,hizi statement mbili hizi zinaonyesha kuna walakini kwenye marriage yake.
View attachment 594454
ndugu zangu wachaga, yaani hata mje mjini muishi miaka hamsini, ushamba huwa hauwatoki, utafikiri mmekuja leo mjini. hivi kwanini huwa hambadiliki? na kwa huyu shetani wa kike, kusema kweli anakera sana, ameharibu ndoa za watu wengi sana kwa kufundisha wanawake kushindana na wanaume, anataka vile anavyoishi yeye na vibwana vyake wanawake woote waishi ivyoivyo...kumbe hajui yeye alishindwa ndoa ya miaka 8 akaomba talaka kaenda kuishukua kinondoni kwa matarumbeta, akaolewa na mchaga mwenzie (kwasababu yule wa mwanzo hakuwa mchaga labda alikuwa mngoni), akaanika maisha ya mumewe wa kwanza kwa watz ili aaibike bila kujali kuwa alimtoa kwenye uhousegirl na ushamba wa kutupwa, na akakiri kwamba aliolewa na mumewe wa kwanza sio kwa kumpenda ila tu ili apate maisha mazuri na hakumzalia watoto miaka 8 makusudi.....kama sio ushetani nini hiyo? na bado akamuanika sana kwenye media. kama kile kibwana chake kigaidi cha chadema kitakuwa kimemuacha, kitakuwa kimeshindwa kuvumilia. huyu mimi binafsi nimemuwekaga kwenye list ya watu wapumbavuu wanaotakiwa kupigwa vita na kila mtu kwasababu wanaamini wanaisaidia jamii kumbe wanaiharibu zaidi. sema tatizo ni shule hana shule ana hisia tu za maisha.
 
Kaka tupe mrejesho wa YouTube vipi seduce na zilipendwa nani anaongoza mpk dkk hii.....sorry kwa kutoka nje ya mada
Mkuu kumbe ilikuuma zilipendwa kutokuhit kwa viewers mpaka juzi ,??? Bado tu mlikuwa kwenyemkakati ili mpate viewers zaidi hadi leo watu tulisha sahau??? Poor you!!
 
Umbea huo,ulijuaje au walikujaribisha nini?


Wote wanaachwa na Wanawake kila siku, wamejaa hapa wakilalamika kupigwa chini na Wanawake, chadema Alpha labda ni Mbowe tu yeye ndiyo anawakula Mademu wote wa Viti Maakumu, waliobakia wote Beta!
 
Wote wanaachwa na Wanawake kila siku, wamejaa hapa wakilalamika kupigwa chini na Wanawake, chadema Alpha labda ni Mbowe tu yeye ndiyo anawakula Mademu wote wa Viti Maakumu, waliobakia wote Beta!
Yaonyesha na wewe mmoja wao waliowahi kuliwa na M/Kiti ndio maana unashinda hapa ukilalamika lalamika
 
Yaonyesha na wewe mmoja wao waliowahi kuliwa na M/Kiti ndio maana unashinda hapa ukilalamika lalamika


Mimi ni Jinsia ME, hivyo siwezi kuliwa bali nakula Mademu wenye chati!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…