Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Dj Nelly hakutaka kumtaliki ila kiria alienda mwenyewe mahakamani kudai talaka
Alishlumwa talaka na DJ Nelly
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishlumwa talaka na DJ Nelly
Itasaidia nini? Wewe umesema hawez kuolewa ndoa mbili kanisan? Kkkt na Rc
Hivi kwanini siku hizi...Nimekua nikiona post zake mara kwa mara akisema single life na akishauri wanawake wenzake kutokukaa kwenye ndoa zenye matatizo,hizi statement mbili hizi zinaonyesha kuna walakini kwenye marriage yake.
View attachment 594454
ASISAHAU, KAMA anatangaza ukibamia wa mwenzie, NDO anatangaza UKUBWA WA LIPAPUCHI LAKE..Tangia lini ' Kibamia ' kikamridhisha Mwanamke Mkuu? Mwanamke anataka Mkuyenge / Mpini wa maana na siyo Kimkuyenge / Kipini kama ambacho nahisi ' Kamanda ' anakimiliki.
Nimeshakujibu! Ameolewa na Dj Nelly na Kilewo kanisaniMbona umepanic mkuu. No research no right to argue
Mbona tunalishana maneno,nimesema ndo ya kanisani haina talaka,
OK kibamia hakimridhishi mwanamke , Ila wewe kinakuridhisha eti??Tangia lini ' Kibamia ' kikamridhisha Mwanamke Mkuu? Mwanamke anataka Mkuyenge / Mpini wa maana na siyo Kimkuyenge / Kipini kama ambacho nahisi ' Kamanda ' anakimiliki.
Na hawa wachungaji ni wa kuwaangalia sana!Jidanganye tu huyo dada ameshaolewa mara 2 kanisani
Kama yule wa pale jiji la wanaume wa dar si ndio mkuu! Ila chadema sijaona mwanaume aliyelegea makalio kama yule wa kwenu au vipi![emoji1]Chadema hakuna Mwanaume Alpha, wote ma Beta!
ndugu zangu wachaga, yaani hata mje mjini muishi miaka hamsini, ushamba huwa hauwatoki, utafikiri mmekuja leo mjini. hivi kwanini huwa hambadiliki? na kwa huyu shetani wa kike, kusema kweli anakera sana, ameharibu ndoa za watu wengi sana kwa kufundisha wanawake kushindana na wanaume, anataka vile anavyoishi yeye na vibwana vyake wanawake woote waishi ivyoivyo...kumbe hajui yeye alishindwa ndoa ya miaka 8 akaomba talaka kaenda kuishukua kinondoni kwa matarumbeta, akaolewa na mchaga mwenzie (kwasababu yule wa mwanzo hakuwa mchaga labda alikuwa mngoni), akaanika maisha ya mumewe wa kwanza kwa watz ili aaibike bila kujali kuwa alimtoa kwenye uhousegirl na ushamba wa kutupwa, na akakiri kwamba aliolewa na mumewe wa kwanza sio kwa kumpenda ila tu ili apate maisha mazuri na hakumzalia watoto miaka 8 makusudi.....kama sio ushetani nini hiyo? na bado akamuanika sana kwenye media. kama kile kibwana chake kigaidi cha chadema kitakuwa kimemuacha, kitakuwa kimeshindwa kuvumilia. huyu mimi binafsi nimemuwekaga kwenye list ya watu wapumbavuu wanaotakiwa kupigwa vita na kila mtu kwasababu wanaamini wanaisaidia jamii kumbe wanaiharibu zaidi. sema tatizo ni shule hana shule ana hisia tu za maisha.Nimekua nikiona post zake mara kwa mara akisema single life na akishauri wanawake wenzake kutokukaa kwenye ndoa zenye matatizo,hizi statement mbili hizi zinaonyesha kuna walakini kwenye marriage yake.
View attachment 594454
Umbea huo,ulijuaje au walikujaribisha nini?Chadema hakuna Mwanaume Alpha, wote ma Beta!
Kwani na Israel Nkongo walifungia wapi? Si kanisani na mtoto Lincoln wakazaa,lakini mwisho wa siku ndoa chalii ndio akampata huyu ambae nae kashindwaBado ana ndoa yake. Ndoa za kanisani hazina talaka.
Mkuu kumbe ilikuuma zilipendwa kutokuhit kwa viewers mpaka juzi ,??? Bado tu mlikuwa kwenyemkakati ili mpate viewers zaidi hadi leo watu tulisha sahau??? Poor you!!Kaka tupe mrejesho wa YouTube vipi seduce na zilipendwa nani anaongoza mpk dkk hii.....sorry kwa kutoka nje ya mada
Umbea huo,ulijuaje au walikujaribisha nini?
Yaonyesha na wewe mmoja wao waliowahi kuliwa na M/Kiti ndio maana unashinda hapa ukilalamika lalamikaWote wanaachwa na Wanawake kila siku, wamejaa hapa wakilalamika kupigwa chini na Wanawake, chadema Alpha labda ni Mbowe tu yeye ndiyo anawakula Mademu wote wa Viti Maakumu, waliobakia wote Beta!
Yaonyesha na wewe mmoja wao waliowahi kuliwa na M/Kiti ndio maana unashinda hapa ukilalamika lalamika