Basi utakua ni Me wa ajabu kuwahi kutokea Duniani otherwise wanaume wameisha Duniani kiasi cha kufikia kuomboleza na Dada zaoMimi ni Jinsia ME, hivyo siwezi kuliwa bali nakula Mademu wenye chati!
Aliolewa ndoa ya Kwanzaa na DJ Nelly Ya kanisani pale st Peter's wakaachana akaja kuolewa na henry kileo tena kanisaniBado ana ndoa yake. Ndoa za kanisani hazina talaka.
Numbisa bado mgeni na wadada wa jijiniJidanganye tu huyo dada ameshaolewa mara 2 kanisani
Basi utakua ni Me wa ajabu kuwahi kutokea Duniani otherwise wanaume wameisha Duniani kiasi cha kufikia kuomboleza na Dada zao
Alikuwa house girl , leo anawashauri wenzake jinsi ya kuishi na mume. Kumbe TAPELI KUBWAAfu kumbuka elimu yake huyo ilikua ni darasa la 7 na alikua beki 3 kabla
Upekee wako sitamani vijana wangu wajifunze,maana watapoteaSiyo tu wa ajabu bali wa pekee pia!
Numbisa bado mgeni na wadada wa jijini
Aliolewa ndoa ya Kwanzaa na DJ Nelly Ya kanisani pale st Peter's wakaachana akaja kuolewa na henry kileo tena kanisani
Kwani na Israel Nkongo walifungia wapi? Si kanisani na mtoto Lincoln wakazaa,lakini mwisho wa siku ndoa chalii ndio akampata huyu ambae nae kashindwa
Ndoa si jambo la kujaribu jaribu
Namzungumzia DJ Nelly (Nelson Israel Nkongo) hilo ndilo jina lake halisi japo si maalufuNimeenda hadi google sijampata israel nkongo aliyezaa na joyce kiria. Au wamwongelea nani?
hili swali lako kama unataka kumtolea mahari vile! Watu wa fursa aiseekwani alikuwa mke wa nani? msaada plz
Aliolewa na Nelson Mkongo DJ wa clouds na DJ Nelly mwaka Jana kaoa tena km sikosei pale pale st Peter'sNimeenda hadi google sijampata israel nkongo aliyezaa na joyce kiria. Au wamwongelea nani?
Kwani na Israel Nkongo walifungia wapi? Si kanisani na mtoto Lincoln wakazaa,lakini mwisho wa siku ndoa chalii ndio akampata huyu ambae nae kashindwa
Ndoa si jambo la kujaribu jaribu
Namzungumzia DJ Nelly (Nelson Israel Nkongo) hilo ndilo jina lake halisi japo si maalufu
I'm soryyy kwa kukukwazaaaaHii kashfa sasa.ningemponda joyce mngeniita hater,nimeamua kucoment positive naitwa mshamba aiseee
Ok mamaa wa Horizon DeepMbona hawakupata mtoto kipindi cha ndoa yao. Lincoln mtoto wa kilewo