Joyce Kiria ameachana na mumewe?

Joyce Kiria ameachana na mumewe?

Wakibosho mbona watulivu huyu may be siyo originali
 
I know my dear,ila tu ndoa za kanisani hazina talaka rasmi basi tu wanadamu wamepindua sheria.
Aliolewa ndoa ya Kwanzaa na DJ Nelly Ya kanisani pale st Peter's wakaachana akaja kuolewa na henry kileo tena kanisani
 
Nimeenda hadi google sijampata israel nkongo aliyezaa na joyce kiria. Au wamwongelea nani?
Kwani na Israel Nkongo walifungia wapi? Si kanisani na mtoto Lincoln wakazaa,lakini mwisho wa siku ndoa chalii ndio akampata huyu ambae nae kashindwa
Ndoa si jambo la kujaribu jaribu
 
Nimeenda hadi google sijampata israel nkongo aliyezaa na joyce kiria. Au wamwongelea nani?
Aliolewa na Nelson Mkongo DJ wa clouds na DJ Nelly mwaka Jana kaoa tena km sikosei pale pale st Peter's
Na Joyce kabla hajapewa talaka tayari alikua ana mimba ya kileo siku anafata talaka mimba hiloo ndo ya mtoto wa kwanza Lincoln within a yr akaongeza mwingine leinsten km sijakosea jina lake
Kwani na Israel Nkongo walifungia wapi? Si kanisani na mtoto Lincoln wakazaa,lakini mwisho wa siku ndoa chalii ndio akampata huyu ambae nae kashindwa
Ndoa si jambo la kujaribu jaribu
 
Back
Top Bottom