Joyce Kiria ameachana na mumewe?

Huyo Kileo ndo kala za mbavu. Alikuwa anasaidiwa maisha tu kwasababu mangi mwenzake baada ya mdada kumchuna pesa Mtu mwingine na kuanzisha Wanawake Live.
- Sasa Kileo hana kazi, kila siku yuko mitandaoni " Pipooz pipooz" kwanini asile KIBUTI.
Ohooooo!!!
 
Nimekua nikiona post zake mara kwa mara akisema single life na akishauri wanawake wenzake kutokukaa kwenye ndoa zenye matatizo,hizi statement mbili hizi zinaonyesha kuna walakini kwenye marriage yake.
View attachment 594454

UKIJUA KAMA KUNA WALAKINI KATIKA NDOA YAKE, ITAKUSAIDIAJE KIMAISHA WEWE BINAFSI ACHILIA MBALI UNAOWAULIZA?? HAYA KUNA WALAKINI CHUKUA HATUA !!!
 
Yule na mtu anayestahili standards za kuheshimiwa ni mjinga na mpuuzi yule mdada!

Sasa apambane na khali yake kahaba mkubwa.
 
Hafai huyu Mwanamke...katili sana.

Sijui angekuwa mmachame angekuaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…