Joyce Kiria ameachana na mumewe?

Joyce Kiria ameachana na mumewe?

Huyo Kileo ndo kala za mbavu. Alikuwa anasaidiwa maisha tu kwasababu mangi mwenzake baada ya mdada kumchuna pesa Mtu mwingine na kuanzisha Wanawake Live.
- Sasa Kileo hana kazi, kila siku yuko mitandaoni " Pipooz pipooz" kwanini asile KIBUTI.
Ohooooo!!!
 
About 20 Hours Ago.
WL.jpg
 
Nimekua nikiona post zake mara kwa mara akisema single life na akishauri wanawake wenzake kutokukaa kwenye ndoa zenye matatizo,hizi statement mbili hizi zinaonyesha kuna walakini kwenye marriage yake.
View attachment 594454

UKIJUA KAMA KUNA WALAKINI KATIKA NDOA YAKE, ITAKUSAIDIAJE KIMAISHA WEWE BINAFSI ACHILIA MBALI UNAOWAULIZA?? HAYA KUNA WALAKINI CHUKUA HATUA !!!
 
Sidhani kama ni busara kuanza kumchambua Mtu kwa ama Kigezo cha Elimu au Kazi yake Mkuu. Muogope Mungu wako hapo hapo ulipo. Wapo Watu wenye Elimu na Kazi zao hapa nchini / duniani lakini ni wa ' hovyo hovyo ' tupu tena linapokuja suala zima la Ndoa / Mahusiano.

Tumjadili tu Yeye kama Yeye na siyo sijui Elimu au Kazi yake au Mlengo wake wa Kisiasa kama ambavyo kuna Mtu hapo juu nae nimemuona akimchambua kutokana na Itikadi yake ya Kisiasa lakini akasahau au akajisahaulisha tu kwamba hata Yeye katika hiko hiko Chama anachokipenda kuna ' Skendo ' huko kibao tena za aibu na ambazo Sisi wa upande wa pili tunazijua / tunazo ila tu Kibinadamu tunastiriana / tunafichiana tu Siri.

Huwa nachukia sana Binadamu anayembagua au anamdharau mwenzake hasa kwa Kigezo cha Elimu au Kazi au Dini au Itikadi za Kisiasa na Ukabila.
Yule na mtu anayestahili standards za kuheshimiwa ni mjinga na mpuuzi yule mdada!

Sasa apambane na khali yake kahaba mkubwa.
 
ndugu zangu wachaga, yaani hata mje mjini muishi miaka hamsini, ushamba huwa hauwatoki, utafikiri mmekuja leo mjini. hivi kwanini huwa hambadiliki? na kwa huyu shetani wa kike, kusema kweli anakera sana, ameharibu ndoa za watu wengi sana kwa kufundisha wanawake kushindana na wanaume, anataka vile anavyoishi yeye na vibwana vyake wanawake woote waishi ivyoivyo...kumbe hajui yeye alishindwa ndoa ya miaka 8 akaomba talaka kaenda kuishukua kinondoni kwa matarumbeta, akaolewa na mchaga mwenzie (kwasababu yule wa mwanzo hakuwa mchaga labda alikuwa mngoni), akaanika maisha ya mumewe wa kwanza kwa watz ili aaibike bila kujali kuwa alimtoa kwenye uhousegirl na ushamba wa kutupwa, na akakiri kwamba aliolewa na mumewe wa kwanza sio kwa kumpenda ila tu ili apate maisha mazuri na hakumzalia watoto miaka 8 makusudi.....kama sio ushetani nini hiyo? na bado akamuanika sana kwenye media. kama kile kibwana chake kigaidi cha chadema kitakuwa kimemuacha, kitakuwa kimeshindwa kuvumilia. huyu mimi binafsi nimemuwekaga kwenye list ya watu wapumbavuu wanaotakiwa kupigwa vita na kila mtu kwasababu wanaamini wanaisaidia jamii kumbe wanaiharibu zaidi. sema tatizo ni shule hana shule ana hisia tu za maisha.
Hafai huyu Mwanamke...katili sana.

Sijui angekuwa mmachame angekuaje.
 
Back
Top Bottom