Joyce Kiria ameachana na mumewe?

Joyce Kiria ameachana na mumewe?

Kileo alikua na haki kumtaliki huyu aliyeamua kujivika uccm ili kutetea kipindi cha wanawake live, mke bora husimama na mumewe hata kwa kulala njaa badala ya kujipekecha mdomo gizani
Huyo Kileo ndo kala za mbavu. Alikuwa anasaidiwa maisha tu kwasababu mangi mwenzake baada ya mdada kumchuna pesa Mtu mwingine na kuanzisha Wanawake Live.
- Sasa Kileo hana kazi, kila siku yuko mitandaoni " Pipooz pipooz" kwanini asile KIBUTI.
 
Hilo limama ni gold digger kileo wakati anagombea ubunge kwao upareni hilo kengeza mbona lilikua nae bega kwa bega, coz lilijua jamaa akiwa mbunge basi na lenyewe mambo yatalinyookea.
 
Bado ninadiriki kusema kuwa, katika Mashariki mwa Afrika kwa Karne hii hawajawahi kuwepo Wanawake Wapumbavu na wasiofaa kuigwa na jamii kama:

1) Joyce Kiria
2) Aliyekuwa Mke wa Sugu
3) Flora Mbasha

Huyu Joyce Kiria ndio hatari zaidi na ana stress na roho mbaya zilizoanzia Utosini mpaka katika nyao. Pia anawachukia sana Wanaume na kuwaponda bila critical reasons.

Nikikumbuka tu alivyomuaibisha yule Mzee wa kichaga wa kule Rombo na kumuanika nchi nzima kwa personal issues, namwona hajielewi huyu Mwanamke.

Ni bora usioe kabisa kuliko uoe aina hiyo ya wanawake.
 
Hilo limama ni gold digger kileo wakati anagombea ubunge kwao upareni hilo kengeza mbona lilikua nae bega kwa bega, coz lilijua jamaa akiwa mbunge basi na lenyewe mambo yatalinyookea.
Wanawake 95% ni gold doggers, ni level tu ndio zinatofautiana.
 
Back
Top Bottom