Joyce Kiria ana ujumbe kwa haters wake, baada ya kupondwa kuweka hadharani mambo ya familia

MumbaZ

Senior Member
Joined
Jan 28, 2018
Posts
133
Reaction score
124
Joyce Kiria aibuka tena na issue ya mumewe lakini awamu hii amewachana wanaombeza.

Instagram:
joycekiriasuperwoman: Watu wangu Nifunzeni jinsi ya kusonya na kunyali nyumbu wote waliotoka povuuuu na wanaoendelea maana wanawashwaaaaaa Wajinga wengi mnooooo

 
Mwenye jipu takoni hawahi siti
 
Huu ugonjwa unaitwa "Kichaa cha ndoa". Ni ugonjwa hatari sana wa akili. Huwaathiri zaidi wanawake kuliko wanaume.
Mwanamke akishapata huu ugonjwa; Asilimia 75 hesabu hapo hakuna ndoa tena, wala hakuna matibabu. Wachache sana huwa wanabahatika kupata matibabu sahihi na kupona kabisa huu ugonjwa.
 
Mtu akishaanza tabia za namna hii ana depression amekataliwa na anajikataa yeye mwenyewe pia.mnaweza kuja kusikia kajiua huyu hayuko sawa kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…