Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,538
Hajawahi kuwa mkeweKweli kabisa bora faiza mke wa Sugu ana akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajawahi kuwa mkeweKweli kabisa bora faiza mke wa Sugu ana akili.
Yule ni kichaa, bora huyu chiziKweli kabisa bora faiza mke wa Sugu ana akili.
Lauryn Hillwa Kwenye avatar yangu ni m black beauty wa nguvu. Hafananii kabisa na Bi Joy
![]()
![]()
Mi nashangaa anavyoleta huku kwenye social media sasa toka.aanze kuandika sisi tumemsaidia nini zaidi ya kumshangaa
Yes, Joyce kakuta lengo lake limefeli, nimejifunza sio kila vita niya kupigana.Siku zote jibu la mjinga ni kukaa kimya tu
Hahahaaaaa.... Paaap misonyo chumbaniMara paap, unamsikia mkeo mkeo Anadai huyu Ndio role model wake[emoji274]
Hivi waajiri wake wanaruhusu mfanyakazi wao tena muelimisha jamii atukane Hivi halafu bado Anaendelea na kipindi cha harakati?
Ana nyee..... ,,,,,,, geUkweli unauma Joyce
Linda heshima yako kwa ajili ya watoto wako
Social media zipo zitaendelea kuwepo chapa mguu songa mbele mwanamke acha kujiaibisha
Hahahaa.....Nilizan ni mimi tu ndiye niliyechemka kuoa
Ukiishiwa tu sikuizi hata kama una demu anakupenda. Akijua tu huna, ghafla amenuna, hana furaha yaaan anakuwa na majib majib tu yasiyo mazuri.Mwanamke ni mwanamke tu,hata wewe uliye na pesa na upo kwenye ndoa ishiwa uone moto unavyowaka