Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Huyu yupo kwenye msongo wa mawazo wa level za juu sana. Anashangaa Mumewe hajibu kitu kwa media na hii inazidi kumfrustrate. Poor her. Aanze kutumia sasa zile ngojera alizokuwa anatumia kuwajaza wafuasi wake.