Joyce Kiria bado anatapatapa. Amvua nguo 'mume wake', Henry Kilewo

Yaani mumewe kuchepuka na mmoja tu analalamika dunia nzima kwa page ndefu ya lawama. Ingekuwa ni ile enzi ya mitume waliokuwa na wake zaidi ya 10 huyu angejiua. Wanawake wabinafsi sana. Unataka uwe peke yako kwani wewe ni mama yake mzazi.
Huyu dada sikubaliani nae hasa kuleta mambo yake ya familia,
Lakini na nyinyi wanaume acheni kuwa waroho.
 
umejibu kikamanda mama...sema huyu mwanamke anamatatizo ndoa ya pili anaachika af yeye siku zote ndo mlalamikaji..kweli nyani haoni k..ndu..e
 
Ni kweli kamanda hakua na shida tatizo kamchafua mno mitandaoni had kurudi inakuwa ngumu. Kileo vile mwanaume hayatoi nje ya kiria yalivo. Mi naomba kabla ya kurudiana amnyooshe mpaka awe na heshima kwanza
 
Huyu dada sikubaliani nae hasa kuleta mambo yake ya familia,
Lakini na nyinyi wanaume acheni kuwa waroho.
Hiyo ni nature tu. Halafu hakuna mwanaume anapenda kuwa controlled na mwanamke. Kila mtu ajue nafasi yake
 
wachagga ni wazuri na waelewa sasa Joyce kiria anazalilisha wachagga nadhani elimu ndogo inamsumbua though ni fight apunguze ujike dume ndoani.
Anatoka kwa mangi anahamia kwa mangi wachaga wanautamu flan hivi
 
Huyu dada simwelewagi kabisa, mambo ya kifamilia yanamwagwa mitandaoni hawana wazazi? viongozi wao wa dini? au hata washenga na wasimamizi wa ndoa? kwa haraka haraka naona Joyce ni pasua kichwa ndio maana ndoa imemshinda kweli mwanamke mpumbavu atavunja ndoa yake kwa mikono yake. Pole kwa ndugu zake hawakumfunza kwao anawachoresha huyu mwanamke
 
Ni kweli kamanda hakua na shida tatizo kamchafua mno mitandaoni had kurudi inakuwa ngumu. Kileo vile mwanaume hayatoi nje ya kiria yalivo. Mi naomba kabla ya kurudiana amnyooshe mpaka awe na heshima kwanza
Nisingekuona kwenye hii thread basi ningeamini siku hizi kuna mbuzi anayetaga mayai ya bata
 
Mwenyewe natamani amnyooshe hadi ajifunze adabu na heshima ya Mume.
Ni kweli kamanda hakua na shida tatizo kamchafua mno mitandaoni had kurudi inakuwa ngumu. Kileo vile mwanaume hayatoi nje ya kiria yalivo. Mi naomba kabla ya kurudiana amnyooshe mpaka awe na heshima kwanza
 
Mpaka ana mwananya, wanawake mko wapi, jamaa si mtu wa mitandao kama Joyce, Matusi yote anameza. Mtapata wapi mwanaume kama huyu, fursa kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…