duuuuh...kazi kweli kweli..............ati wanasema wanawake hatupendani, ni kweli????
duuuuh...kazi kweli kweli..............ati wanasema wanawake hatupendani, ni kweli????
ana makubwa gani kujishaua tu....makubwa yake ni kusema elimu haina umuhimu??
ana makubwa gani kujishaua tu....makubwa yake ni kusema elimu haina umuhimu??
Kimeo tu.yeye na Sipora wanaitaji shule. Watanzania tuamke tusiwape sifa za kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.huyu,kanumba,ray,ze komed wanaitaji shule.tusiwape sifa wasizostaili.
Sawa tumekuelewa, tutakupa sifa wewe mpiga majungu unajua sana kupiga majungu watu wenye maendeleo,wakati wewe huwafikii hata robo.
Wivu gani wa kumuonea Joyce? hzo ndoa mbili au?? kuomba talaka? may be coz alivaa shela mara mbili
Nionyeshe sehemu aliyotamka hayo maneno kwenye hìi thread??!Mrembo by Nature said:Hivi mtu ana akili zake
atasimama vipi kwenye media
asema elimu haina umuhimu katika
maisha ya mwanadamu alafu awekwe
kwenye kundi la ma role model???
Hayo maneno ndo niliyoyaelewa mimi!!Amavubi said:na kusema kwamba mfumo wa elimu uliopo sasa
unamkwamisha kuendeleza kipaji
chake......
Tatizo lako hasa nini!? We uliyesoma una nini cha ziada kumshinda yeye!? Mwenzako kwa sasa anaendesha familia za watu kwa kupitia fedha anazowalipa wafanyakazi wake kwenye hz kampuni!? Wewe je au ndo wivu wa kike!?Mrembo by Nature said:Wivu gani wa kumuonea Joyce? hzo
ndoa mbili au?? kuomba talaka?
may be coz alivaa shela mara
mbili
Ana maendeleo gani? au coz ni mke wa CHADEMA (kilewo) teh teh kama Joyce ana maendeleo basi Rita, akina mama Nkya na wengineo watakuwa sijui wako kwenye high mass consumption (maturity stage according to Rostow)