Hivi mtu ana akili zake atasimama vipi kwenye media asema elimu haina umuhimu katika maisha ya mwanadamu alafu awekwe kwenye kundi la ma role model??? hapa sio swala la kupendana au kuchukiana....ila hana vigezo vya kupewa sifa mlizo mpa.
kwanza interview zenyewe anazo host kwenye kipindi chake full kuwa comand wageni wake.., na kuwapangia cha kusema (yani kinachomfurahisha yeye)...kwa kweli AKAJIPANGE UPYA, AJE KIVINGINE AKIWA ANA ELIMU LAKIN KWA PALE ALIPO SIDHANI KAMA ANA MIAKA 2 MBELE KUENDELEA KUMAINTAIN STATUS .... Kama amekutuma umpe promo mwambe hujatukuta