Joyce Kiria: Darasa la saba tu lakini mambo makubwa

Anavyoshupaliaga wababa wanaodai 0713 kwa wake zao aisee ni balaa alafu huwa anapendaga sana hzo story sijui na yeye ni mhanga wa janga hilo ila big up joy
 
Ivi sasa unaona aibu kwa hii comment
 
Prediction yangu ilikuwa conditional kwamba kama hatajiendeleza na kujifunza basi itakuwa failure. Ila Ni mjanja alienda shule na amekuwa na role models wa ukweli so wamemuelekezaa.
Hahaaaaa....haya...nimekuelewa...msalimie baba magogoni hapo
 
Prediction yangu ilikuwa conditional kwamba kama hatajiendeleza na kujifunza basi itakuwa failure. Ila Ni mjanja alienda shule na amekuwa na role models wa ukweli so wamemuelekezaa.
Haaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] nimekutafuta weweee!!
Kumbe ndo umebadilika hv!! Hata celebrity huji tena
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] hehehehe cku hizi nimekuwa msomaji my dear.....halafu nalea. nimebanwaaaaa ww jumlisha napambana na hali yangu aseee!
 
[emoji2] [emoji2] not fair my dear!!hongera kwa kunyonyesha yaani daah!hufai we wee!kupambana na hali huku looih
 
uliona mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…