KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Ni housegirl mstaafu, baada ya kustaafu amekuwa kanjanja japo anajiita mwandishi wa habari, ana talaka kadhaa kibindoni baada ya kuunga paipu kama fundi bomba, ni mweusi tii ila anatumia kalolaiti awe mweupe ili aendelee na safari ya kuunga paipu
Kuunga pipe ndo nini mkuu! make naisi nimezeeka.