Joyce Kiria: Darasa la saba tu lakini mambo makubwa

Joyce Kiria: Darasa la saba tu lakini mambo makubwa

Manina dah!mange classic anafananishwa na joyce local?hawa watu ligi tofauti kama ni wachezaji mange ni messi joyce ni fred mbuna



Huo u-classic wa Mange uko wapi? Opportunist tu alekimbilia kuolewa na mzungu ndio atoke.
Joyce fought from within na saa hii anaendesha maisha.

Ukitaka kujua tofauti ya Mange na Joyce, mwambie Mange aachane na huyo bwanaake mzungu aje kutafuta maisha home uone, in no time huo u-classic hautauona. Joyce been here toka day one and still shinning.

Next time usitukane
 
View attachment 48787
Mtangazaji Mashuhuri wa Kipindi cha Wanawake Live Bi Joyce Kiria leo 0603012 ameweka bayana kiwango chake cha elimu na kusema kwamba licha ya kwamba ameishia darasa la saba tu lakini ni mwanamke anayeweza kujivunia kwa mafanikio aliyonayo hadi sasa kwa kuweza kumiliki kampuni mbili ikiwemo ya Local Media Entertainment, ameyazungumza hayo na kuishia kububujikwa machozi wakati wa maadhimisho ya kuelekea siku ya mwanamke duniani aliyoandaliwa na WiLDAF katika ukumbi wa Karimjee (mtoa makala alikua shuhuda) na kusem
a kwamba mfumo wa elimu uliopo sasa unamkwamisha kuendeleza kipaji chake......
Who is the Man behind her success? That is the main question forget her her tears it just show that she has done nothing much to reach there.
 
Ukweli unabaki palepale, kuwa akiina Bill Gates na Steve Jobs hawakuwa na yeti vya colleges. Kumbuka kuwa hata hawa akina Bill na Steve hawakugundua wao hizo kompyuta na softwares bali wanafanya maboresho based on needs at time t.
GOOD
umesema wanafanya maboresho thats means inahitaji mtu mwenye akili ya ziada na ufikiri pamoja na uvumbuzi wa hali ya juu katika kufanya maboresho hayo.
swali langu kwako
JOYCE KIRIA ANA AKILI HIYO..? nijibu hilo swali then tuendelee
 
GOOD
umesema wanafanya maboresho thats means inahitaji mtu mwenye akili ya ziada na ufikiri pamoja na uvumbuzi wa hali ya juu katika kufanya maboresho hayo.
swali langu kwako
JOYCE KIRIA ANA AKILI HIYO..? nijibu hilo swali then tuendelee
Nijuavyo mimi kuna tofauti kati ya talent, gift na skills, kusoma na kuelimika, inategemea wakati na mazingira, its true kama JK ana talent anahitaji skills kidogo.........
 
Kwa hiyo anataka apewe vyeti vya astashahada, stashahada na shahada kwa kuletewa ofisini kisa ana biashara? Kweli huyu akili tope!
Hapana kwa maneno yake alikua anaomba ushauri jinsi gani atoke hapo alipo na aende mbali kimasomo....kwa jinsi nilivyomuelewa
 
nina oracle
nina ccna
nina microsoft certification
nina diploma in computer engineering from dit
nina certificate in computer application from ucc
nina certificate in computer maintance from dit
na sasa nasoma bachelor.........dit ila sina maendeleo yoyote kweli mjini michongo
 
Sawa sikatai kwamba huyu binti jasiri na anaweza, ila angepata hata ka certificate kakumlinda jamani.. Ataelimishake watu walioacha shule na kukimbilia mtaani..? Sio kila mtu ana nyota kama yy kwani tunajua wengi walio mtaani sababu ya elimu., awe mfano asome ili watu wamuheshimu na watambue elimu haina kikomo cha muda na kutovunjika moyo kwa watu kama yeye
 
nina oracle
nina ccna
nina microsoft certification
nina diploma in computer engineering from dit
nina certificate in computer application from ucc
nina certificate in computer maintance from dit
na sasa nasoma bachelor.........dit ila sina maendeleo yoyote kweli mjini michongo

pole, :A S 2152:
 
elimu si kipimo cha maisha, unaweza ukawa na phD lakini ukawa na maisha ya kuungaunga. Mf. Diamond
 
Elimu sio kila kitu,lets not overrate it,wanaomaliza soli kutafta kazi js bcz thy r educated na uyo Joyce nan afadhal??binafsi namkubali,aendelee mbele
 
Hivi Joyce Kiria ni Judge, Magistrate au? Anatumia sheria gani kuingilia nyumba za watu na kuwahoji? Sawa ni mwaka harakati, sheria gani ya uanaharakati inamruhusu kuingia nyumba za watu kwa nguvu. Wanasheria naomba tuelimishane? Polisi anaoambatana nao wanatumia sheria gani kufanya anayoyataka Joyce Kiria.
 
Anaingia nyumbani kwa watu kwa nguvu? Yeye ni nani hasa mpaka aingie kinguvu?
 
mwanaharakati wa kutetea wanawake ,binafsi namuunga mkono
 
Ni housegirl mstaafu, baada ya kustaafu amekuwa kanjanja japo anajiita mwandishi wa habari, ana talaka kadhaa kibindoni baada ya kuunga paipu kama fundi bomba, ni mweusi tii ila anatumia kalolaiti awe mweupe ili aendelee na safari ya kuunga paipu
 
Back
Top Bottom