Joyce Kiria: Darasa la saba tu lakini mambo makubwa

Ni housegirl mstaafu, baada ya kustaafu amekuwa kanjanja japo anajiita mwandishi wa habari, ana talaka kadhaa kibindoni baada ya kuunga paipu kama fundi bomba, ni mweusi tii ila anatumia kalolaiti awe mweupe ili aendelee na safari ya kuunga paipu

Kuunga pipe ndo nini mkuu! make naisi nimezeeka.
 
mwanaharakati wa kutetea wanawake ,binafsi namuunga mkono

Nakubaliana na wewe kabisa. I am con[JFMP3][/JFMP3]cerned with kuingia kwenye nyumba za watu kwa nguvu na kulazimisha kwa kuwaita polisi anapokataliwa. Sikatai anachokifanya, atumie sheria. kama mtu hataki aingie kwake aende mahakamani afungue kesi kumsaidia huyo anayemtetea. Tusifanye mambo kinyume cha sheria, tunaweka bad precedents kwa hao wanaojihita wanaharakati.
 
Ni housegirl mstaafu, baada ya kustaafu amekuwa kanjanja japo anajiita mwandishi wa habari, ana talaka kadhaa kibindoni baada ya kuunga paipu kama fundi bomba, ni mweusi tii ila anatumia kalolaiti awe mweupe ili aendelee na safari ya kuunga paipu

uandishi wa habari ni fani mdebweda, nakumbuka neno kanjanja lilianzia huko. Nadhani uandishi wa habari ni profession. Sasa huyu housegirl anadhalilisha fani za watu. Kuunga pipe ni nini mkuu?
 
Ni housegirl mstaafu, baada ya kustaafu amekuwa kanjanja japo anajiita mwandishi wa habari, ana talaka kadhaa kibindoni baada ya kuunga paipu kama fundi bomba, ni mweusi tii ila anatumia kalolaiti awe mweupe ili aendelee na safari ya kuunga paipu

Nidhamu huna Dogo, talaka zake na Carolite zinakuhusu nn ww?
 
Nakubaliana na wewe kabisa. I am con[JFMP3][/JFMP3]cerned with kuingia kwenye nyumba za watu kwa nguvu na kulazimisha kwa kuwaita polisi anapokataliwa. Sikatai anachokifanya, atumie sheria. kama mtu hataki aingie kwake aende mahakamani afungue kesi kumsaidia huyo anayemtetea. Tusifanye mambo kinyume cha sheria, tunaweka bad precedents kwa hao wanaojihita wanaharakati.
NCHI HII INA THE RIGHT TO PRIVACY ndani ya katiba, na inalindwa kwa njia mbili,civil na criminal
Anaweza kuwa anafanya civil trespass kwenye sheria ya madhara(tort)na anaweza kudaiwa fidia or criminal trespass akapigwa faini au kufungwa,nyumbani kwako ni himaya yako binafsi,let her lawyers tell her that she plays a dangerous game
 
Asante kwa elimu. nani najua hivyo! Wanasheria wake wanampoteza. Cha jabu ni kuwa hata Tawla , Tamwa anaowakimbilia they do not caution her on this dangerous practice
 
Tuna wasiwasi na mwenendo wote wa familia yako wewe unaye mdis joyce pole bana ukweli unauma sana sana!!!!
 
Asante kwa elimu. nani najua hivyo! Wanasheria wake wanampoteza. Cha jabu ni kuwa hata Tawla , Tamwa anaowakimbilia they do not caution her on this dangerous practice

Atakutana na wajanja watamlamba kesi halafu vi camera vyake viwe attached pursuant to court order na ma court broker waviuze,akishindwa kulipa kabisaaaa anaimbiwa a~show cause kwa nini asitupwe lupango kama civil prisoner
 
Ni housegirl mstaafu, baada ya kustaafu amekuwa kanjanja japo anajiita mwandishi wa habari, ana talaka kadhaa kibindoni baada ya kuunga paipu kama fundi bomba, ni mweusi tii ila anatumia kalolaiti awe mweupe ili aendelee na safari ya kuunga paipu

Uko vizuri, naona unamfaham vizuri. Zidi kutupatia historia yake. Na sipati picha huyo mama aliekuwa anamfanyia kazi au paipu ya mumewe kama pia aliiunga,sijui anajisikiaje kwa sasa
 
Back
Top Bottom