Hadi stage aliyofikia tunatakiwa tumpongeze ukilinganisha na elimu yake!! Ka ulishaangalia show zake hauwezi ukaamini ka ana hiyo elimu kwa jinsi anavyo host vizuri!? Kuna show nyingi za wengine tumeona zimefail pamoja ya huwa host wake wamesoma ka ile ya Mary Rose (ka sijakosea) ya Star tv kuna ile ya Sporah naona huwa ya kawaida sana..C.T.U said:still elimu bado ni muhimu...
kwa maelezo yake tu nimeshaona
kasoro Inayosababishwa na elimu
Nionyeshe sehemu aliyotamka hayo maneno kwenye hìi thread??!
Hayo maneno ndo niliyoyaelewa mimi!!
Tatizo lako hasa nini!? We uliyesoma una nini cha ziada kumshinda yeye!? Mwenzako kwa sasa anaendesha familia za watu kwa kupitia fedha anazowalipa wafanyakazi wake kwenye hz kampuni!? Wewe je au ndo wivu wa kike!?
Na sio mpaka tuwezeshwe
Si umeomba/unataka source hayo maneno aliyasema kwenye interview zake na mama huyu: MANGE KIMAMBI & DEVOTA ON WANAWAKE LIVE..ENJOYYYY....
siku nyingine umetetee mtu unayemjua sio otherwise
Hizo habari za Mange mi+255 said:Nionyeshe sehemu aliyotamka hayo
maneno kwenye hìi thread??!
Hili hapa ndo lilikuwa swali
langu:
Hizo habari za Mange mi
nitazijulia wapi wakati
nilichokuuliza ni kuhusu hayo maneno aliyoyasema toka kwenye
THREAD?! ndo maana sijataka
kuhangaika kufungua hiyo link
yako!
Hajanituma na haki ya nani simfahamau na hanifahamu kwa sikio wala ndwele, nilivutiwa sana na ushuhuda wake.........nadhani una inda tu na binti wa watu......Hivi mtu ana akili zake atasimama vipi kwenye media asema elimu haina umuhimu katika maisha ya mwanadamu alafu awekwe kwenye kundi la ma role model??? hapa sio swala la kupendana au kuchukiana....ila hana vigezo vya kupewa sifa mlizo mpa.
kwanza interview zenyewe anazo host kwenye kipindi chake full kuwa comand wageni wake.., na kuwapangia cha kusema (yani kinachomfurahisha yeye)...kwa kweli AKAJIPANGE UPYA, AJE KIVINGINE AKIWA ANA ELIMU LAKIN KWA PALE ALIPO SIDHANI KAMA ANA MIAKA 2 MBELE KUENDELEA KUMAINTAIN STATUS .... Kama amekutuma umpe promo mwambe hujatukuta
Education without liberation is nothing......................unaweze kuwa umesoma lakini hujaelimika.....We boya kweli, umetaka ushahidi nimekuletea , kuusoma hutaki!! usaidiweje?? kwa taarifa yako hayo maneno aliyasemea kwenye kipindi cha wanawake live ambapo Mange na Devota ndo walikuwa wageni studio!! na yeye na ta.....bul....ara...sa mwenzake devota walikiri kwamba elimu haina maana yoyote kwa maisha ya binadamu....!!! Usitetee wajinga hata kama wewe ndo mumewe. Kwa taarifa yako pale umeoa tabula
Ukweli kwamazungumzo yake mwenyewe amekiri kwamba shule ni muhimu sana na nimemsikia kwa masikio yangu, kama kuna mahali alitamka kwamba elimu haina umuhimu, sikatai yamkini pia kwa upeo wake mdogo au tu kwa kuwa alikuwa kwenye luninga na alikua anaji recall back yeye mwenyewe, lakini kilichomliza pale pale ni kuona kwamba anahitaji sana elimu lakini kwa mfumo uliopo anaona ni changamoto kuifikia kwa sababu kwa maneno yake aanasema akienda say QT na tayari ana vibiashara vyake maana yake ni kukwama maana zinahitaji closely monitoring na akamomba mh mbunge Angela Kairuki aangalie jinsi gani wanaweza kumsaidia binti kama yeye, hata mimi kuna vitu katika analysis yangu niligundua anahitaji shule kidogo...but ni kumpa moyo na kumsisitiza ajitahidi kusoma ili aongezee kitu kwenye kipaji chake....Sometimes anaonekana kama upeo wa fikra zake pia haujakomaa, jamani shule muhimuuuu inakufungua mengi kiakili. Kuwa successful sio lazima uende shule wako waliozaliwa already success hawana haja na shule. Lakini inasaidia kuangalia vitu in different angle.
Yamkini sasa amebaini umuhimu wa shule, saa nyingine huo ufinyu alionao ni kutokana na elimu ndogo pia...ila kwa maneno yake amerudia kama mara 3 hivi kwamba elimu ni muhimu jamani (machozi)Si umeomba/unataka source hayo maneno aliyasema kwenye interview zake na mama huyu: MANGE KIMAMBI & DEVOTA ON WANAWAKE LIVE..ENJOYYYY....
siku nyingine umetetee mtu unayemjua sio otherwise
Haya hapa ndo maneno aliyoyasema, nimenukuu toka kwenye hy link yako:We boya kweli, umetaka ushahidi nimekuletea , kuusoma hutaki!! usaidiweje?? kwa taarifa yako hayo maneno aliyasemea kwenye kipindi cha wanawake live ambapo Mange na Devota ndo walikuwa wageni studio!! na yeye na ta.....bul....ara...sa mwenzake devota walikiri kwamba elimu haina maana yoyote kwa maisha ya binadamu....!!! Usitetee wajinga hata kama wewe ndo mumewe. Kwa taarifa yako pale umeoa tabula
Sasa we tatizo lako lipo wapi!? Nioneshe tena aliposema elimu haina umuhimu!?saying that elimu ndio ina
umuhimu wake but its not
everything in life,
Af hayo maneno kayasema Devotha, sasa kwa nini unasema alisema Joyce?Mrembo by Nature said:sa mwenzake
devota walikiri kwamba elimu
haina maana yoyote kwa maisha ya
binadamu....
hayo yote yametoka wapi? Tuwe watu wakuapreciate mtu anachokifanya,ppo are not always perfect ila joyce anastahili kupongezwa ni kati ya wanawake wachache wa kuigwa ktk jamii,shela ata akivaa mara kumi ni yeye na atabaki kuwa yeye...we unaonekana mdomo wako mweusi umekalia umbea na majungu,ndugu yangu majungu si mtaji.Wivu gani wa kumuonea Joyce? hzo ndoa mbili au?? kuomba talaka? may be coz alivaa shela mara mbili