Joyce Kiria: Darasa la saba tu lakini mambo makubwa

PINER said:
BAADA YA MIAKA 5 AMBAPO CHADEMA
NDO ITAKUWA IKIONGOZA NCHI
SIPATI PICHA LABDA MUMEWE NDO
ANAKUJA KUWA MBUNGE HALAF WAZIRI
WA FEDHA/AFYA AU CHOCHOTE MKE WA
WAZIRI HATA YES/NO HAJUI..
Unajua mgombea mwenza wa CHADEMA 2010 alikuwa na elimu gani? Af nae ndo ilikuwa aje aongoze nchi!!
 


Hapo umenena Anne. Huyo the so called mrembo by nature nadhani haishi kusutwa mtaani kwao kwa umbeya. Wivu wake uko deep kiasi kwamba anaweza hata kumuwekea mtu sumu. Atakufa na kijiba cha roho.
 
sio kweli tena binafsi nikiangalia kipindi chake ndo nchoka kabisa akiendesha very unprofessional kwa sababu hana ulewa mkubwa wa mambo muhimu kama umuhimu wa elimu hasa kwa mwanamke.
 
Kiukweli Sista J.K(Joyce Kiria or Joyce Kilewo) amejitahidi sana,kwa level ya darasa la 7 kufanya mambo hayo ni kweli anahitaji pongezi,wasomi ndio wanaoliangamiza hili taifa ebu check mikataba ya madini,wizi wa epa ni wasomi ndio waliofanya hayo mambo,dada JK anawapa watu inspiration kwamba hata kama haujasoma still you can make it.
 
sio kweli tena binafsi nikiangalia kipindi chake ndo nchoka kabisa akiendesha very unprofessional kwa sababu hana ulewa mkubwa wa mambo muhimu kama umuhimu wa elimu hasa kwa mwanamke.

Weka Demo yako(video clip) ukionyesha unatangaza kiprofesheno tuone!! Tujifunze kuappreciate watu,dada joyce anafanya mambo makubwa sana ana vipindi vizuri,to own a company is not a small issue dawg.
 

Kwani kumiliki kampuni ninnini. labda utuambie hizo kampuni zimefanya mambo makubwa yakutisha. mwambie aende shule aache mbwembwe eti mfumo wa elimu umemkwamisha kuendeleza kipaji chake, kipi! au anafikiri kuna shule ya kufundisha kuwa host wa talk show. mwambie aangalie sporah talk show ajifunze toka kwa mtanzania mwenzie yeye bado sana
 

kwani kumiliki kampuni ndio mafanikio,hebu tuambie hizo kampuni zinafanya shughuli gani kama hutasikia ku-mc sherehe mbalimbali. kama unamfahamu mwambie aende shule aache visingizio eti mfumo wa elimu unamkwamisha kuendeleza kipaji chake kipi hicho? au anafikiri kuna shule ya kufundisha jinsi ya kuhost talk show. alikera sana ile siku aliyowaalika devota na mange alionesha weaknes kubwa sana.
 
Hapo umenena Anne. Huyo the so called mrembo by nature nadhani haishi kusutwa mtaani kwao kwa umbeya. Wivu wake uko deep kiasi kwamba anaweza hata kumuwekea mtu sumu. Atakufa na kijiba cha roho.

Habari ndo hyo ukweli utasemwa milele, kama ipo ipo tu haina haja ya kutangazwa!! amewatuma mumpigie promo awape kidogo mpunguze dhiki zenu....so sio makosa yenu...endeleeni kutetea ujinga na wajinga!!! Ila bado ana safari ndefu ya kwenda.......! kwa definition yenu ya maendeleo siwezi kuwalaumu kwani upeo wenu ndio umeishia hapo. nishawajua nyie ni vilaza na mapoyoyo siwezi kukimbizana na nyie watetea upumbavu. kila la heri
 
sio kweli tena binafsi nikiangalia kipindi chake ndo nchoka kabisa akiendesha very unprofessional kwa sababu hana ulewa mkubwa wa mambo muhimu kama umuhimu wa elimu hasa kwa mwanamke.
Mwanadafada Joyce ni wa shoka kweli kweli...nampa big up kwa elimu yake mambo yake ni superi aisee.....tuemona wengi na elimu zao wametrufukisha hapa tulipo.....
..joyce katulia
--joyce ana heshima
....joyce ana kipaji na ubunifu wa hali ya juu
.....joyce ni mpinaji
....joyce ni zaidi ya mama salma kikwete...kwa IQ huwezi kumlinganisha na mama mwanaasha....
 
Mrembo by nature said:
Ila bado
ana safari ndefu ya
kwenda...
Bahati mbaya au nzuri hiyo safari haikuhusu na wala hajakwambia umsaidie kumbeba ni yeye na familia yake!?
 
big up joyce sasa na wale wenye MB wanazopiga kelele nazo, wanaishia tu kuzururaa kwenye maclub kucha na na mafake wig yao!
gube gube kama mange lina MBA.....huweiz kumuweka mange na joyce sehemu moja wajadili kitu..joyuce atamtoa nokout.....
 

Ebu tudokeze mwenzetu mwenye elimu so far una mafanikio gani kwenye jamii yako yanayotokana na hiyo elimu yako.
Mi naona unaweza kusoma lakini usielimike, ungekuwa kwenye category ya wenye elimu usingeongea upuuzi huo. Mathalani bado Mungu anamjalia uhai atapokea ushauri toka kwa wenye mapenzi mema na atapata elimu zaidi as for you my friend naona mwisho wako hautakuwa mzuri ukiendekeza ulimbukeni.
 
Talk show yake ipo ki-local local, hamna u-professionalism hata chembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…