Joyce Kiria kurudi kwa kishindo na Wanawake Live Msimu wa 2

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2010
Posts
899
Reaction score
1,103
yule dada mpambanaji alimaarufu Joyce kiria ambaye kwasasa ameolewa na kupata mtoto wa kiume. Anatarajiwa kurudi na ujio tofauti kabisa kwenye luninga moja wapo za bongo ukiachilia mbali vipindi vyake vinavyoruka kwenye DSTV, *nilibahatika kulonga na mwanadada huyo alipokuja hapa Arusha kumtembelea na kumpa hongera kamanda Lema mbunge wetu wa A- town, alikuwa ameongoza na mume wake, tulikutana maeneo ya magereza walipokuwa wameenda kumtembelea Godbless lema huku wakiwa wameambana na mke wa mbunge wetu yaani Neema lema,

Tulitaka kujua ujio wake utakuwaje: na mnukuu, NIimejipanga kurudi kimapinduzi zaidi ilikumkomboa mwanamke katika mfumo dume, pili natarajia kujatofauti kabisa, naombeni muniunge mkono maana bila nyie sitoweza kufika ninapotaka kufika na kuwafikisha wanawake wenzangu.

Tukamuomba angalau picha za ujio wake mpya, akatutumia naweka moja kwanza.View attachment 41068
 
huyo dada habahatishi hata siku moja, na mkubali sana anajua anachokifanya yupo tofauti na wenzake wanaojiita mastaar. Anajichanganya kwenye kila kundi la jamii bila kujali ustaa wake.
 
yule dada mpambanaji alimaarufu Joyce kiria ambaye kwasasa ameolewa na kupata mtoto wa kiume. Anatarajiwa kurudi na ujio tofauti kabisa kwenye luninga moja wapo za bongo ukiachilia mbali vipindi vyake vinavyoruka kwenye DSTV, *nilibahatika kulonga na mwanadada huyo alipokuja hapa Arusha kumtembelea na kumpa hongera kamanda Lema mbunge wetu wa A- town, alikuwa ameongoza na mume wake, tulikutana maeneo ya magereza walipokuwa wameenda kumtembelea Godbless lema huku wakiwa wameambana na mke wa mbunge wetu yaani Neema lema,

Tulitaka kujua ujio wake utakuwaje: na mnukuu, NIimejipanga kurudi kimapinduzi zaidi ilikumkomboa mwanamke katika mfumo dume, pili natarajia kujatofauti kabisa, naombeni muniunge mkono maana bila nyie sitoweza kufika ninapotaka kufika na kuwafikisha wanawake wenzangu.

Tukamuomba angalau picha za ujio wake mpya, akatutumia naweka moja kwanza.View attachment 41068
Eti ni kweli alikuwa anakugharamikia kila kitu kamanda kilewo?
 
Jamaa anateleza tu na pia ndio punch bag yake
 
Kuna watu wafukunyuku, wamechimbua na kuipata thread ya miaka saba iliyopita.
 
yule dada mpambanaji alimaarufu Joyce kiria ambaye kwasasa ameolewa na kupata mtoto wa kiume. Anatarajiwa kurudi na ujio tofauti kabisa kwenye luninga moja wapo za bongo ukiachilia mbali vipindi vyake vinavyoruka kwenye DSTV, *nilibahatika kulonga na mwanadada huyo alipokuja hapa Arusha kumtembelea na kumpa hongera kamanda Lema mbunge wetu wa A- town, alikuwa ameongoza na mume wake, tulikutana maeneo ya magereza walipokuwa wameenda kumtembelea Godbless lema huku wakiwa wameambana na mke wa mbunge wetu yaani Neema lema,

Tulitaka kujua ujio wake utakuwaje: na mnukuu, NIimejipanga kurudi kimapinduzi zaidi ilikumkomboa mwanamke katika mfumo dume, pili natarajia kujatofauti kabisa, naombeni muniunge mkono maana bila nyie sitoweza kufika ninapotaka kufika na kuwafikisha wanawake wenzangu.

Tukamuomba angalau picha za ujio wake mpya, akatutumia naweka moja kwanza.View attachment 41068

Kamanda umetisha, hizi multiple IDs mmhh!
 
Una Akili Ndoogooo
 
Eti ni kweli huna kazi unalishwa na kuvishwa mpaka kodi analipa Joyce?
 
Kwahiyo alipokuja Arusha ukijua fika ana mume na mtoto na wewe ukaanza kuzengea na hatimaye ukaja kumuoa. Pole sana, alivyomuacha mumewe ndio atakavyokuacha na wewe
 
Hivi jf si ruhusa kuwa na I'd zaidi ya moja? Nakumbuka vizr huu Uzi ulikupandishwaga si kwa I'd hii naamini kabisa kabisa multiple I'd za kilewo mod wamezidukua wakazifinyanga kuwa I'd moja!
 
Back
Top Bottom