Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

Things Fall Apart

Senior Member
Joined
Jun 26, 2012
Posts
178
Reaction score
146
Nimejaribu kupitia post za hii akaunti ya mtu anayejiita Joyce Kiria kwenye facebook lakini hizi post zinanipa wasiwasi kama kweli ni yeye kapost au ni mahasimu wake.

Ili kama si yeye anayepost kwenye hii akaunti aweze kuchukua hatua zinazostahili ili kulinda heshima na utu wake.
================

Mada nyingine zinazoshabihiana

===============

Baadhi ya picha zilizowahi kuzua 'utata'

(with screenshots)




======================

Ushauri kutoka kwa Mdau kwenda kwa mume wa Joyce Kiria, Henry Kilewo.
 
Acha kuangaika yupo insta na twitter Facebook usiangaike nayo
 

mkuu kwenye hiyo page yake si ameweka namba zake za simu?
Kwanini baada ya kuona posti zake zinaanza kubadilika usimpigie na kumwuliza naamini ungepata majibu mazuri na kuondoa wasiwasi ulikuwa nao kuliko ulivyo kuja hapa bila kuhakikisha hilo jambo maana hapa kila mtu anaulewa wake ila siwezi kukulaumu maana bado sijafamu ulichokuwa unafikiria mpka ukaamua kuanzisha uzi ukizingatia sikuhizi teknolojia imekua kwa kiasi kikubwa sana.
 



Mwenyewe atakuja kujibu humuhumu!
 

Yule mwanamke ana mdomo mchafu utampiga baadae atajuta kwanini amempigia
 
Akaunti ya huyo dada ipo hacked au kuna mtu amefungua akaunti kwa jina la huyo dada. Tabia mbaya sana hii
 
Malaya haachi umalaya mpaka wammalaye upande wa kimalaya..
 
Ulidhani Joyce Kiria ni mtu wa aina gani hadi umshangae? Rudia tena kusoma CV yake!!! Naamini utamwacha na yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…