Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

Ila na nyie makamanda inakuaje kamanda mwenzenu anakaa mjini hata kutafita sembe anashindwaaa
 
Akaunti ya huyo dada ipo hacked au kuna mtu amefungua akaunti kwa jina la huyo dada. Tabia mbaya sana hii
Kama same hack akaunt sawa, je na huyo anaeonyesha bakola za kichaga sio kiria?
Nimejaribu kupitia post za hii akaunti ya mtu anayejiita Joyce Kiria kwenye facebook lakini hizi post zinanipa wasiwasi kama kweli ni yeye kapost au ni mahasimu wake.

Ili kama si yeye anayepost kwenye hii akaunti aweze kuchukua hatua zinazostahili ili kulinda heshima na utu wake.
================

Mada nyingine zinazoshabihiana



===============

Baadhi ya picha zilizowahi kuzua 'utata'

(with screenshots)

1461879496832-jpg.343204

1453477866366-jpg.318558

View attachment 343291
======================

Ushauri kutoka kwa Mdau kwenda kwa mume wa Joyce Kiria, Henry Kilewo.
 
HIVI NI KWELI KAFUMANIWA? KAMANDA KILEWO, MADEMU WOTE HAWA? KWANIN USIMCHUKUE HATA KAMANDA MWENZIO PALE MJENGONI, HAJAOLEWA BDO
 
Back
Top Bottom