Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

Hapa Kamanda amechemsha

Ilibako kidogo huyu mama awe First Lady wa Mwanga..
 
Hawa viumbe sijui mungu alisahau nn? Wakati WA uumbaji wao Wanavyo lala sivyo wanavyoamuka
 
Unazidi kumuongezea umaarufu tuuh...!
 
Mkuu habari za siku nyingi na pole na misukosuko ya maisha Kamanda Henry Kilewo.

Yangu leo ninayo machache sana ya kukuhusia mdogo wangu, si kwamba naingilia maisha yako bali nakutabanaisha hulka tulizokuwa nazo watz wa sasa.

Kamanda Kilewo waswahili wanasema kosea kujenga nyumba lkn usikosee kuoa mke.

Kamanda kwa heshima kubwa nakushauri ufanye review ya ndoa yako na Joyce Kiria dada asiyethamini mwili wake.

Kamanda Kilewo kama makamanda wenzio Freeman Mbowe, Tundu Lissu, John Mnyika, G. Lema etc wanakuonea aibu kukuambia ukweli wacha mimi nikueleze.

Post za Joyce Kiria katika fb page yake zinanipa conclusion ya kwamba she is not your type hasa kwa kipindi hiki ambacho watanzania wameweka imani yao kwa CHADEMA kama mkombozi wao wa pili katika kuitafuta haki yao ya kikatiba ndani ya nchi yao.

Kamanda Kilewo pole sana mana wazungu wanasema Charity begins at home lkn kwa bahati mbaya nyumbani kwako ni tofauti.

Mwisho nakushauri Kiongozi mzuri ni yule anayeweza kuiongoza familia yake kwa tamaduni za jamii husika.

Sitarajii kuona wanasame wakikuchagua kuwa mbunge wao huku wakiona mke wa mbunge wao akijidhalilisha kwenye mitandao ya kijamii.

Ukishindwa Kumdhibiti mkeo Mpoto alisema Kuanza upya si ujinga.

Wasaalam
 
Mkuu unatafuta matusi kutoka kwa yule bi mkubwa wa Kilewo.
Ameshashauriwa sana huko Facebook na wanaomshauri hupewa majibu ya karaha
 
Wewe ni mshamba kweli. Ndoa ya mtu usiingilie. Ndoa inapaswa kuwa ndio kitu cha kwanza ndo ifuate chadema sijui ukawa. Kama wewe uko radhi kumuacha mkeo kisa chadema basi nenda kanisani kafunge ndoa na chama. Masuala ya nyumba ya mtu yanakuhusu nin?
Huna point ya msingi wala nini. Alipofungwa huyo kamanda wako ni Joyce Kiria aliempigia kampeni akizunguka Mwanga nzima. Mapenzi ya watu huyajui. Kaa kimya. Nyambaff
 

Huu umbea wa Facebuku humu JF tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…