Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

Kama ndoa ni kitu cha kwanza mbona cdm mnamtukana dr.slaa alipoamua kuachana na cdm kwa ajili ya kuilinda ndoa yake
 
mama wa dyudyu mwacheni hii!! Maisha yenyewe mafupi Nifah njoo mtete kamanda mwenzako
 
Mke kaishia darasa la nne,unategemea nin hapo!
 
Huyu sijui kapandwa na kaugonjwa ama uzee wamjia vibaya jamani muekeni kwenye maombi kwakweli
 
Mwacheni kileo aisome number,gube gube hili walilishindwa akina Nelly ye akaona ameokota dodo kwenye muarobaini,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…