2018-2015=2??????????????
Usidandie mada bosi
Unanijua?Take a chill pill mkuu, humu JF mada hazina mwenyewe.
Kama same hack akaunt sawa, je na huyo anaeonyesha bakola za kichaga sio kiria?Akaunti ya huyo dada ipo hacked au kuna mtu amefungua akaunti kwa jina la huyo dada. Tabia mbaya sana hii
Nimejaribu kupitia post za hii akaunti ya mtu anayejiita Joyce Kiria kwenye facebook lakini hizi post zinanipa wasiwasi kama kweli ni yeye kapost au ni mahasimu wake.
Ili kama si yeye anayepost kwenye hii akaunti aweze kuchukua hatua zinazostahili ili kulinda heshima na utu wake.
================
Mada nyingine zinazoshabihiana
===============
Baadhi ya picha zilizowahi kuzua 'utata'
(with screenshots)
View attachment 343291
======================
Ushauri kutoka kwa Mdau kwenda kwa mume wa Joyce Kiria, Henry Kilewo.