miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
we mfukunyuku weweHahahaha nishakijua siri hakuna tena
we mfukunyuku wewe
Sura mpya miguu ya zamani
Ha haa ha ... ukikata kichwa kiwiliwili ni joti mtupuu
AiseeeEet shape kama bodyguard wa chibuu...
ha ha ha kinachonichekesha siri yangu
kiseme ila mi sijasemaMe nimejua
Sasa inabidi ukamshauri wifi yako aache hizo mambo wakati umeshapita...wanampoteza
Dada yangu kumbe upo?Get a life. ..
Kifua kikubwa kuliko matako