Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

fundi kasahau jamani,ila kaona sio kesi bora atinge ivo ivo mradi papuchi imestirika..yatosha!
Ahsante.
 
Wako Wengi Mno Mitaani, Tumeshazoea Na Kawaida Mno Kuwaona Mabinti, Wadada Na Akina Mama Wakiwa Na MAVAZI Ya Chumbuni Barabarani!!!
 
habari za msaga sumu huwa sizichoki kusoma, ingawa sipendi kufuatilia maisha ya watu ila msaga sumu unani convice nisome hadi mwisho.
 
Joyce Kiria ni jipu pia. Ukiacha vimini vyake lkn pia kuna wakati anaingilia personal life za watu. Mtumbuaji ndo km kina Msaga sumu .
Wenye viwembe wote nawaalika mtumbue hili jipu limeiva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…