Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

jamani huyo alikuwa Beki 3 alipoliingilia Jiji
sasa kajanjaruka
MUACHENI
 
Inawezekana huyu ana maisha ya ndoa mazuri kuliko weww hapo na mkeo.
 
huyu angeenda kuishi kwa mswati..
hawavaagi kule nanii !!!
 
Tusihukumu. Inawezekana ilipasuka wakati anapanda gari kwenda kum kazi au joto hili linamshawishi mtu achane nguo zake bila kukusudi ili hewa ipite.
 
Bana kamalizane kule kule.. Pale ungemuliza vp angekujibu papo apo @ ista
 
Kila mtu akiamua kumpa promo mamaake mdogo humu, JF itakuwa haitoshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…