Joyce Kiria naye ni mmojawapo wa wanawake aliyetelekezwa, amekwenda kuitikia ofisini kwa RC Paul Makonda

Mm nahisi kama hili swala liko kisiasa zaidi,sijui labda
Japo ni kweli wabab wengi wanatelekeza watoto wao ila kwa nnavyoona kama kuna watu Fulani wanatafutwa
Acha ujinga
 
Poti ...umenifurahisha sana leo ...yaani nimecheka sanaaaa.........😛😛😛
 
Mbona kwenye hiyo picha naona kama kuna mwanaume mbele yake naye ameenda kutoa malalamiko, au hii picha ni yatukio jingine tofauti na hili la leo, lkn. Kwa mbali naona kibao cha RAS, labda pia inawezekana
 
jamani duuuuu
 
Nilifikiria kuoa housegirl wa jirani ila nimeahirisha
 
YULE JAMAA YAKE WA CDM AJIANDAE KUBEBESHWA MZIGO.. ILA ASIKUBALI WAKAPIME DIENIEI
 
Mm nahisi kama hili swala liko kisiasa zaidi,sijui labda
Japo ni kweli wabab wengi wanatelekeza watoto wao ila kwa nnavyoona kama kuna watu Fulani wanatafutwa
Umeona ehh
 
YULE JAMAA YAKE WA CDM AJIANDAE KUBEBESHWA MZIGO.. ILA ASIKUBALI WAKAPIME DIENIEI

Atampaia kona gani mtu ambaye makazi yake ni Kilimanjaro? najiuliza tuu Joyce hata atadhubutu kwenda kwa Wakwe zake waliompokea vizuri. poor former Mrs Kilewo.. But nijuavyo huyu alikuwa anataka matunzo makubwa zaidi ya uwezo wa mmewe
 
na mie nijiandae kupima maana nilipokwenda CALGARY CITY kwa muda wa mwaka na nusu kurudi nikala mzigo baada ya mwezi naambiwa tayari umepanda mbegu... AKA?!!!!! kilichotoka siri yangu
 
Atampaia kona gani mtu ambaye makazi yake ni Kilimanjaro? najiuliza tuu Joyce hata atadhubutu kwenda kwa Wakwe zake waliompokea vizuri. poor former Mrs Kilewo.. But nijuavyo huyu alikuwa anataka matunzo makubwa zaidi ya uwezo wa mmewe
sawa na mobeto etieee... alikataa 2m kwa wk akasainishwa 5laki kwa mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…