Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake wengi ni midomo tu ukiwaambia wasimame wenyewe utaona wanaanza kulia.Halafu ndio anajiita mwanamke wa chuma huku kujisimamia mwenyewe hawezi.
Ni swala la fursa ya Kick.....lazima awe midomoni mwenu, ndio kazi yake...sijaona tofauti na Sepengakama ni kweli kakidhalilisha mno kipindi chake... Dhana ya strong woman anayoihubiri kila siku iko wapi!!?
Ohooooo!!!Mtetezi ana msambwanda wa haja
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]yupo na le kibamia
le kibamia mwnyw alikimbia marekani kuogopa child support af huku kujkuta mwanaharakat kwel
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
nye nye nye na kinamama
View attachment 739220
Mwanadada Joyce Kiria ambaye pia ni mtangazaji maarufu wa kipindi cha Wanawake Live ni miongoni mwa wanawake waliofika leo katika kuitikia agizo la Mh. RC Paul Makonda linalowataka wanawake wote waliotelekezwa na waume zao wafike kumueleza matatizo yao.
Hiyo mbunye ulivyoitaja kwa midadi haki vile km uko dar sio wewe ni hali ya hewa imeleta mushkel kidogo kwenye maeneo ya kazi[emoji134]Nadhani huyu Dada haitaji tu ushauri wa Kisaikolojia bali anahitaji pia ' Mkuyenge ' uliotukuka Kisaikolojia ili uweze kumuingia vizuri kwenye kila kona za ' Mbunye ' yake kusudi uweze kumtuliza vinginevyo naanza kuona kwa mbali kwa jinsi anavyohangaika hivi kuna Siku tunaweza kukutana nae barabarani huko akiwa uchi wa mnyama huku ' Mbunye ' yake yote ' ikitabasamu ' ama akitangaza Kipindi chake cha Wanawake Live au anaongea na Simu. Asaidiwe upesi tafadhalini hayuko sawa 100%.
Huyo tayar alishakuwa na brand yake jina lake tosha kuitunza familia yake si sawa na wamama wauza vitumbua hapo anaharibu jina la brand yake na haiba kipind cha wanawake live kilikuwa na ukomavu flan sasa yeye analialia hao wengine atawasaidia? Ana mahali pazur pa kuistir famili yake na aibu bado anahangaika kama wakina asha ndala ndefuSwala la matunzo kwa watoto yapasa wazazi wote wawili wawajibike.
Kujiita superwoman uwe umejipanga means changamoto kama hizo anauwezo wa kuzitatua sasa kamanda limemkabili anakimbia nini maana ya superwoman?na yeye ni binadamu km wengine,
hujui anayopitia/changamoto zipi,
behind the camera,ni binadamu na ana moyo wa nyama.