Joyce Kiria naye ni mmojawapo wa wanawake aliyetelekezwa, amekwenda kuitikia ofisini kwa RC Paul Makonda

Joyce Kiria naye ni mmojawapo wa wanawake aliyetelekezwa, amekwenda kuitikia ofisini kwa RC Paul Makonda

Natafuta ile thread iyomsifia sana wakati mume wake ana kesi kule Tabora niangalie yale majina ya wachangia thread nilinganishe na wanaochangia hizi threads zinazomuhusu huyu dada kwa sasa. lazaima wafuata upepo hawatokosekana .
Kwa hiyo akifanya upumbavu wasimkosoe kwa vile walimsifu alupofanya mazuri? Akili za zeze hizi.
 
Mambo ni hivi yani
FB_IMG_15233035256288332.jpg
 
Kumbe Akiwa mbal na camera kwa Muda mref ndo anakuwa mbaya hivo
 
Hili jambo anatafutwa mtu hapa, politics kill my national prestige
 
Hili jambo anatafutwa mtu hapa, politics kill my national prestige
 
Makonda na wanawake wenzake wanataka nini?
huu ni upumbavu tu wanawake wanaacha kufanya kazi za kuwapatia kipato wanaenda kusogoa na mwenzao!
wa kwake amemshinda anaanza kuingilia maisha ya wanaume!
 
Mbona kwenye hiyo picha naona kama kuna mwanaume mbele yake naye ameenda kutoa malalamiko, au hii picha ni yatukio jingine tofauti na hili la leo, lkn. Kwa mbali naona kibao cha RAS, labda pia inawezekana
Labda mwandishi wa habari
 
Naye anatafuta haki yake tusimbeze
Unajua watu wanambeza kutokana na maamuzi na matukio mengi anayofanya. Kama umekuwa unafuatilia visa vya ndoa yake na maisha yake kwa ujumla (ambavyo anapenda sana kuelezea ulimwengu kwa njia ya mtandao) anaonyesha ni mwanamke mpenda makuu wakati uwezo wa familia ni mdogo. Pia kuna mambo mengine mengi ambayo ni changamoto za maisha ambazo kila familia inakutana nazo na inajitahidi kuzivuka lakini kwa upande wake anapenda kukimbilia kushtaki kwa walimwengu! Nadhani kuna siku atakuja kujuta haya anayofanya. Internet ni nzuri lakini kwa mtumiaji asiye na kichwa kizuri ni maangamizi!
 
Back
Top Bottom