Mwanamke mpumbavu hajui hilo mkuu.Fedheha hizi
Kwa hiyo akifanya upumbavu wasimkosoe kwa vile walimsifu alupofanya mazuri? Akili za zeze hizi.Natafuta ile thread iyomsifia sana wakati mume wake ana kesi kule Tabora niangalie yale majina ya wachangia thread nilinganishe na wanaochangia hizi threads zinazomuhusu huyu dada kwa sasa. lazaima wafuata upepo hawatokosekana .
Lei hajapita hata kwenye make up au kweli katelekezwa?Inasikitisha sana kwakweli...Leo iyo kwa mkuu wa mkoa
Nae ameenda kuomba matunzo
Joyce kiria (WANAWAKE live)View attachment 739202
Polee na banKilewo ana kazi safari hiii
Ila wanaume wa kipare bahili sana
Anataka asajiliwe tena !!Hyu former beki tatu Ana shida
Ova
Labda mwandishi wa habariMbona kwenye hiyo picha naona kama kuna mwanaume mbele yake naye ameenda kutoa malalamiko, au hii picha ni yatukio jingine tofauti na hili la leo, lkn. Kwa mbali naona kibao cha RAS, labda pia inawezekana
Ushahidi huu hapa kausema joyce mwenyewe.Haya makanisa Haya kumbe mtu unaweza kufunga ndoa mara mbili
Zote za kanisani
Ya kwanza na nely walifunga St Joseph,ya pili Pentecost na Kilewo na Nelly amefunga ndoa ya pili St Peter's
Unajua watu wanambeza kutokana na maamuzi na matukio mengi anayofanya. Kama umekuwa unafuatilia visa vya ndoa yake na maisha yake kwa ujumla (ambavyo anapenda sana kuelezea ulimwengu kwa njia ya mtandao) anaonyesha ni mwanamke mpenda makuu wakati uwezo wa familia ni mdogo. Pia kuna mambo mengine mengi ambayo ni changamoto za maisha ambazo kila familia inakutana nazo na inajitahidi kuzivuka lakini kwa upande wake anapenda kukimbilia kushtaki kwa walimwengu! Nadhani kuna siku atakuja kujuta haya anayofanya. Internet ni nzuri lakini kwa mtumiaji asiye na kichwa kizuri ni maangamizi!Naye anatafuta haki yake tusimbeze