sir venance
Senior Member
- Oct 26, 2017
- 151
- 223
Mwanadada Joyce Kiria ambaye pia ni mtangazaji maarufu wa kipindi cha Wanawake Live ni miongoni mwa wanawake waliofika leo katika kuitikia agizo la Mh. RC Paul Makonda linalowataka wanawake wote waliotelekezwa na waume zao wafike kumueleza matatizo yao.