Joyce Kiria: Ni aibu kubwa, kijijini alikozaliwa Kikwete aolewa mtoto mwenye miaka 8!

kutesa watu na kuwamwagia tindikali na kusingizia wengine ndiyo tabia ya machadema

...kujilipua mabomu kwenye mikutano yao na kuuwa wananch wasio na hatia kisha kusingizia polis ili waonekane wanaonewa!
 
Cha ajabu ni nini? Sisi katika dini yetu Mtume na nabii ambaye ndiye mwanzilishi alioa mtoto wa miaka 9. Kwa hiyo ruksa!
 
habariyamujini;Huwezi kudivert mada kwa masuala ya kubambikiza watu kesi za kutunga. Haiwezekani nyumbani kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kukawa na ukiukwaji wa haki za wanawake kwa kiwango hiki.Ni lazima achukue hatua madhubuti kwa kushirikiana na wadau bila kusahau taasisi inayoongozwa na Mama Salma Kikwete.Mwezi mei, gazeti la habari leo liliripoti namna ufuska unavyokatisha ndoto za mabinti kusoma na kuikomboa jamii.Mfano Mwalimu wa shule ya msingi Msoga (kijiji alichozaliwa Mhe.Kikwete) Mwalimu wa shule hiyo Joel Mjema alituhumiwa kumpa mimba mtoto wa darasa la 6 kwa jina la Tatu Shaabani.Wakati huo huo alikuwa akiishi na binti wa kidato cha tatu wa shule ya sekondari Lugoba na kumharibia masomo yake. Pia, ikumbukwe kwamba mikoa ya pwani haswa Mtwara,Pwani,Lindi,Tanga na hata Dar (baadhi ya shule) zilishika nafasi za mwisho katika matokeo ya kidato cha nne mwaka 2013, TAFAKARI!
 
Last edited by a moderator:
capo;Haijalishi kama ni promo au advert, jambo la msingi ni kwamba ndoa za utotoni ni tatizo sugu mikoa ya Pwani na ni vema kujadili tatizo bila kujali mwanzilishi ana itikadi gani au jinsia yake!
 
Last edited by a moderator:

Nyumbani kwa rais kunatakiwa kuwe mfano mzuri wa kuigwa!
 
.........inawezekana kazi mojawapo ya rais ni ku regulate watoto wanaoolewa kabla ya mda muhafaka kijijini kwake..,pathetic!!!
 
Mamndenyi
umesahau kuna watu wanalipwa pale mtaa wa Togo kila wakiweka post JF? Siku nyingine wanakosa cha kuandika sielewi kwa nini hawaandiki hata habari za kuhamasisha maendeleo wao ni udaku tu!
 
Last edited by a moderator:
chama; Pwani haiwezi kuwa na maendeleo kwa kuendekeza ndoa za utotoni na kudharau elimu, udaku uko wapi kwenye hili?
 
Last edited by a moderator:
chama; Pwani haiwezi kuwa na maendeleo kwa kuendekeza ndoa za utotoni na kudharau elimu, udaku uko wapi kwenye hili?
Makala Jr
Udaku sio huo kwani hamuwezi kuandika kitu bila kumtaja Kikwete? Hizo ndo mbona zipo kila sehemu nenda umasaini; Musoma kote huko utayakuta; ni maamuzi tu ya watu walioamua kuendeleza mila ambazo zimepitwa na wakati!
 
Last edited by a moderator:
umeishia level gani kusoma kuhusu namna ya kuandika habari kiasi cha kutokujua inverted pyramid? Bila Mhe.Kikwete tusingekijua kijiji cha Msoga hivyo haiwezekani kuandika habari bila kumtaja.Hata kijiji la Lupaso tusingekijua bila Rais Mstaafu Mkapa.Jambo la msingi siyo nani ametajwa bali nini kimetajwa kuwa tatizo katika jamii.
 
Last edited by a moderator:
Sioni ajabu nimekaa lugoba zaidi ya miaka 3 mambo ni hayohayo wanamuiga mkulu wao mana nae kawajaza si utani
 
huyo demu wenge kweli,hilo ni tatizo almost everywhere across the country,iweje amtaje rais? kwan kikwete ni wa bagamoyo tu? ntamuona ana akili kama atapigania hakiz za wanawake na watoto wa kike in general,sio kuleta politics wakati yeye anajiita mpiganaji haki za wanawake. she must be accurate on her duties. mi nahisi bado ana kinyongo na kesi ya mpiganaji kileo
 
Huyu demu ukifuatilia cv na background yake utapata majibu yote wala sio kosa lake
 
Jk ni rais wa tz si rais wa bagamoyo acheni chuki cdm haziwafikishi popote.
 
Sioni ajabu nimekaa lugoba zaidi ya miaka 3 mambo ni hayohayo wanamuiga mkulu wao mana nae kawajaza si utani

Mbona dr slaa hadi leo anahangaika na wake za watu hsmsemi kitu, acheni unafki , miska yote alikuwa wapi anakuja kugombania mademu na uzee ule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…