MPALESTINA ONE
Member
- Aug 6, 2013
- 15
- 1
uelewa wako ndipo ulipo gota mwisho,hatushangai,kipindi kinaitwa Wanawake live, mimi ni mwanaume, hakinihusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uelewa wako ndipo ulipo gota mwisho,hatushangai,kipindi kinaitwa Wanawake live, mimi ni mwanaume, hakinihusu
sipendi kabisa mwanamke aolewe na mtu anayemwagia watu tindikali halafu hasemi ili huyo mtu achukiliwe hatua
kutesa watu na kuwamwagia tindikali na kusingizia wengine ndiyo tabia ya machadema
Mambo mengine jamani yananichanganya kidogo,
kwani ameambiwa kuwa jakaya ndiye aliyemwoa huyo mtoto;
na kwa nini aanze na jakaya wakati wapo watendaji wa chini ambao
wako karibu sana na wananchi kuliko jakaya ambaye
ni mtumishi wa watanzania wote;
chama nisaidie hapa
MamndenyiMambo mengine jamani yananichanganya kidogo,
kwani ameambiwa kuwa jakaya ndiye aliyemwoa huyo mtoto;
na kwa nini aanze na jakaya wakati wapo watendaji wa chini ambao
wako karibu sana na wananchi kuliko jakaya ambaye
ni mtumishi wa watanzania wote;
chama nisaidie hapa
Makala Jrchama; Pwani haiwezi kuwa na maendeleo kwa kuendekeza ndoa za utotoni na kudharau elimu, udaku uko wapi kwenye hili?
Kwa hiyo yeye ameona hilo tatizo lipo bagamoyo tu?
Sioni ajabu nimekaa lugoba zaidi ya miaka 3 mambo ni hayohayo wanamuiga mkulu wao mana nae kawajaza si utani