Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingi huyu dada hujifanya mpambanaji na mtu anayetaka kuondoa mfumo dume. Nilitegemea aeleze kuwa mwanaume anayemtaka wata share 50/50 expenses za maisha lakini inakuwa tofauti.Wakuu,
Kabla huzuni na majonzi hayajatutoka kufuatia mauaji ya mwanamke mrembo na wa kisasa kuuwawa na mumewe huko Mwanza, mtajwa hapo juu bibie Joyce Kiria anazidi kupigilia 'msumali' na kuwashauri ujinga mabinti zetu na wanawake walio katika unyoofu wa maadili.
Nashauri wanaume mnaojielewa Huyu ni aina ya wanawake wakuwakwepa kama ukoma linapokuja suala la ndoa au mahusiano ya muda mrefu.
View attachment 2246071
Mtakuja kunishkuru.
HahahaHuyo mashabiki zake ni wanawake ambao ndoa zimewashinda sasa huwa wanakutana kwa page yake kutengeneza ushawishi kwa kila mwanamke kuwa ndoa ni kitu kibaya na kwamba wanaume ni wanyanyasaji hata akikugombeza kidogo usikubali dai talaka ni dalili ya ukatili😄 machoni wanajidai ma superwoman ila usiku wanalia na kujutia wanayo pitia
Ndugu vipi mbona unaibua habari za Joyce za kitambo? Umegombana naye?Hahaha
Mpotoshaji ni lazima aandamwe, ataandamwa mchana na hata usiku wa manane mpk aombe po!Ndugu vipi mbona unaibua habari za Joyce za kitambo? Umegombana naye?