Watu kwenye kujitoa ufahamu mpo vizuriMange achana na wabongo wacha wauza unga watambe, si unaona watu wanavyokunanga? Acha watoto wao waendelee kuwa mateja bana, kula maisha mdada hii bongo ya waogopa wauza sembe tuachie sie, mana ukiwapa watu live wanakwambia mgomvi. Hop umeshajifunza
Huyo kila anayemwita kwenye kipindi chake ni role model wake... Ana ma role model kama hamsini hadi sasa
Mange achana na wabongo wacha wauza unga watambe, si unaona watu wanavyokunanga? Acha watoto wao waendelee kuwa mateja bana, kula maisha mdada hii bongo ya waogopa wauza sembe tuachie sie, mana ukiwapa watu live wanakwambia mgomvi. Hop umeshajifunza
Kilichomuweka ndani wala si sembe ni matusi yake na kashfa hata yeye anajua!
mange ww amewahi kukutukana??..hao anaowatukana uwa anakutana nao barabarani na kuanza kuwatukana?..binafsi sijaona kosa la Joyce..Mitazamo inatofautiana
Watu kwenye kujitoa ufahamu mpo vizuri
hakuna mtu anaemdiss mange kwa kupiga vita drugs, tatizo ni matusi na udhalilishaji anaofanyaga
ila mnajitoa akili tu
Molembe;13318117 "Elimu ina umuhimu kumbe."[/QUOTE said:Umenifurahisha na kibwagizo tuu
sioni kosa la joyce kumtetea mange...!! Kila mtu na anachopenda
usilazimishe awe kama wewe....!!! So kila mtu atakae mtetea mange una m-dis....!!!
Ifike atua tusi simange watu bila sababu za msingi.....'!!!
Huo ni mtazamo wangu...!!!
Huyu dada ni mwanaharakati na nampa pongezi kwa kujitoa popote anapoona kuna ukandamizaji wa aina yoyote,
Keep it up joyce,
Na yeye ni mpuuzi... anafikiri unaweza piga vita hivo vitu kwa kutukana??? ana hulka za ajabu kweli yule mama... Mwisho wa siku the end justify the means, badalà ya kutafuta evidence na kupeleka màhala hudika yeye vichambo daaaah....
Hata hivyo yule sio kama anaumizwa na biashara ya madawa au nini, ni hulka tu za kuponda kila anachokiona mbele yake...