Joyce Kiria punguza sifa

Joyce Kiria punguza sifa

nlikua namheshim sana ila toka amteteee faiza suguu yaaan sina hamu nae kabisaaa
 
mange ww amewahi kukutukana??..hao anaowatukana uwa anakutana nao barabarani na kuanza kuwatukana?..binafsi sijaona kosa la Joyce..Mitazamo inatofautiana
 
Mange achana na wabongo wacha wauza unga watambe, si unaona watu wanavyokunanga? Acha watoto wao waendelee kuwa mateja bana, kula maisha mdada hii bongo ya waogopa wauza sembe tuachie sie, mana ukiwapa watu live wanakwambia mgomvi. Hop umeshajifunza
Watu kwenye kujitoa ufahamu mpo vizuri
hakuna mtu anaemdiss mange kwa kupiga vita drugs, tatizo ni matusi na udhalilishaji anaofanyaga
ila mnajitoa akili tu
 
Kilichomuweka ndani wala si sembe ni matusi yake na kashfa hata yeye anajua!
 
Kilichomuweka ndani wala si sembe ni matusi yake na kashfa hata yeye anajua!

Labda tujikumbushe kitu,.Nsembo na Kinje tu ndio wanaosemekana ni wauza unga hapa TZ?
Tunajua sababu gani anaingiza vitu personal juu ya hao wawili
Atafute ushahidi apeleke mahakamani, sio kuwatukana hadi matusi ya nguoni na kumchukia kila alie karibu nao.
As for Hudda ni kwa kuwa ni rafiki wa Zari, na anaishi large., Barbadian queen kwa kuwa ni rafiki wa Masimba.
Haya huyo mbunge ni kwa vile anataka jimbo lake
Kuna harakati zozote amechukua zaidi ya kuwatundika blogun na kuanza kuwasasambua?
Amewahi kwenda kitengo maalumu kutoa taarifa zinazohusiana na hao watu??
The rest is hate.
 
mange ww amewahi kukutukana??..hao anaowatukana uwa anakutana nao barabarani na kuanza kuwatukana?..binafsi sijaona kosa la Joyce..Mitazamo inatofautiana

Kwa akili ya kawaida kumtukana mtu kunaitaji kufikiria ili ujue ñi kosa au la???? hivi umeshawahi kupitia kwenye blog yake na kusima ili ugunduevniupuuzi gani umeandoka hapo???
 
Huyo dada huwa anajitia ujuaji sana wa haki za wanawake, anajionaga kama mtetezi wao sana kumbe hana lolote kichwani (tabolarasa)
 
Watu kwenye kujitoa ufahamu mpo vizuri
hakuna mtu anaemdiss mange kwa kupiga vita drugs, tatizo ni matusi na udhalilishaji anaofanyaga
ila mnajitoa akili tu

Na yeye ni mpuuzi... anafikiri unaweza piga vita hivo vitu kwa kutukana??? ana hulka za ajabu kweli yule mama... Mwisho wa siku the end justify the means, badalà ya kutafuta evidence na kupeleka màhala hudika yeye vichambo daaaah....

Hata hivyo yule sio kama anaumizwa na biashara ya madawa au nini, ni hulka tu za kuponda kila anachokiona mbele yake...
 
Jamani hivi bado kuna watu wanaangalia kipindi chake????Kingunge kaumia sn kuliko El
 
sioni kosa la joyce kumtetea mange...!! Kila mtu na anachopenda
usilazimishe awe kama wewe....!!! So kila mtu atakae mtetea mange una m-dis....!!!
Ifike atua tusi simange watu bila sababu za msingi.....'!!!
Huo ni mtazamo wangu...!!!
 
acha zako wewe... Kila mtu anamaamuzi ya kutetea anachopenda sawa, lakini hii nchi sio ya mme wake kuna sheria lazima zifuatwe umetenda kosa ni kosa tu kinachofuatia ni kuwajibika tu na kosa lako..

Inapotokea mtu anatetea maovu, inamaana anayaunga mkono, NONSENSE kuwa na kipindi cha wanawake na kutetea haki za wanawake haimaanshi utetee na maovu..
 
Anafanya sifa kwakuwa anajua anawafuasi was kipindi chake ukiwamo we we,ko cha msingi waambie wenzio mhamishe vilago vyenu kwa Wema In My Shoes,ambae hana makuu na mtu..?!
 
Na yeye ni mpuuzi... anafikiri unaweza piga vita hivo vitu kwa kutukana??? ana hulka za ajabu kweli yule mama... Mwisho wa siku the end justify the means, badalà ya kutafuta evidence na kupeleka màhala hudika yeye vichambo daaaah....

Hata hivyo yule sio kama anaumizwa na biashara ya madawa au nini, ni hulka tu za kuponda kila anachokiona mbele yake...

hahaa mange kiboko,akikosa cha kuchamba anaeza chamba hata kuku ilimradi roho yake itulie
 
Back
Top Bottom