Naomba msaada jamani ina maana hakuna mwenye taarifa za huyu Mtanzania mwenzetu ??
Huyo dada huwa anajitia ujuaji sana wa haki za wanawake, anajionaga kama mtetezi wao sana kumbe hana lolote kichwani (tabolarasa)
acha zako wewe... Kila mtu anamaamuzi ya kutetea anachopenda sawa, lakini hii nchi sio ya mme wake kuna sheria lazima zifuatwe umetenda kosa ni kosa tu kinachofuatia ni kuwajibika tu na kosa lako..
Inapotokea mtu anatetea maovu, inamaana anayaunga mkono, NONSENSE kuwa na kipindi cha wanawake na kutetea haki za wanawake haimaanshi utetee na maovu..
We nawe huna tofauti na huyo mangeHuyu dada ana pepo la ngono. Ukimaliza haraka kabla yake anakutukana hata mangumi anakupiga. Yeye kwake ukiwa cha kuku simu yake anaifuta hapo hapo.
We nawe huna tofauti na huyo mange
Sasa kosa la Joyce nn??acheni upuuzi nyie na kuwa judge watu kupitia picha
Mwacheni aendelee kufanya kazi nzuri anayofanya, ni wazi hawezi kuturidhisha wote ni kawaida,baadhi ya wanaume tuache kuwaona wanawake kama binadamu daraja la pili.Huyu dada kipindi anaanza alikuwa vizuri lakini siku hizi anajifanya mjuaji mwanaharakati wakati harakati zenyewe hawezi amekuwa akifarakanisha ndoa nyingi.
Huku akiwashauri wanawake waachike kama yeye hana ushauri mwingine zaidi ya kuachika.
Dada amejifika vyeo ambavyo hana sifa navyo cha kushangaza ni hili la kwenda kumtetea Mange Kimambi hakuna asiyejua jinsi huyu dada anavyotukana watu kwenye blog yake.
Sasa leo hii Joyce anatoa wapi uhalali wa kumtetea au ndo kutafuta kick na kutaka sifa za kijinga.
Elimu ina umuhimu kumbe.
Ndege wafananao huruka kundi moja. Huyo MANGE mama yake alikuwa BEKI TATU WA MZEE KIMAMBI na huyo JOYCE KIRIA alipokuja mjini kazi ya kwanza alikuwa BEKI TATU. So wenye akili hatushangai sana. MAMA BEKI TATU ANAMTETEA MTOTO WA BEKI TATU
Watu kwa kujifanya wanawajua chimbuko la familia za wenzao. Hebu tuambie mama yako alikuwa nani kwa baba yako
Ha ha ha pacha vp???yaani ulivyo quote hii comment ndo nmejikuta nmeisoma nakumuuelewa huyu jamaa aiseee