Joyce Kiria punguza sifa

Joyce Kiria punguza sifa

Mara mia nicheck futuhi kuliko hicho kipindi....yaani huyo dada kila kitu kwake anataka kuleta siasa.Sawa kafanikiwa kwa upande wake lakini sio ndo ajione mwanaharakati,akitaka afike mbali atulize akili na ajifunze kutoka kwa watu walioweza na zaidi namshauri aende shule itamsaidia kumshape.Katika swala la kwenda kwa Mange....naona anatafuta sifa na kujipendekeza hili asile kichambo heavy.
 
Mlvy na roho mbaya kw hyo ndo mlitaka mange afungwe au?? Mfyuu.....ndo keshaa mtetea na yupo uraian...na domo n nyumba la maneno ataongea awezavyo
 
Even me now day's anakuwa anazidisha masifa yasiona maana.
 
Huyo dada huwa anajitia ujuaji sana wa haki za wanawake, anajionaga kama mtetezi wao sana kumbe hana lolote kichwani (tabolarasa)

Joyce Kiria alikuwa ni beki tatu.. Ukishakuwa housegirl wewe ni housegirl tu maisha yako yote.

Alipata bwana DJ akamuoa akampa maisha akampa connection za kuwa mtangazaji.. Yule DJ alipofulia huyu housegirl akamkimbia.

Kwa sasa ameolewa na bwana wa kichaga, mchaga mwenzie anaitwa kileo.. Huyu bwanake ni mtu hatari akishika mguu wa kuku akwepeshi. Chadema wanatumia kwenye matukio ya kunyamazisha mahasimu wao.

Joyce ni mchaga, anachofanya kwa sasa ni biashara. Biashara ya kutumia matatizo ya wanawake wenzie kutengeneza pesa. Kipindi chake kinatengeneza pesa nzuri kupitia kurusha matatizo ikiwemo privacy za wanawake wenzie.

Nachoshangaa ni kivipi watu na akili zao wananasa kwenye huu mtego wa huyu housegirl kudhani anaguswa sana na matatizo ya watu baki wakati hajawai kurusha matatizo ya kwao huko Bush.

Watu wanaombeba wanamsaidia ila wanashindwa kuondoa akili na damu ya kihousgeli.

Joy amechanganya roho ya kichaga +uhousegirl +shule ndogo.. Imagine anatengezwa mtu wa aina gani.
 
acha zako wewe... Kila mtu anamaamuzi ya kutetea anachopenda sawa, lakini hii nchi sio ya mme wake kuna sheria lazima zifuatwe umetenda kosa ni kosa tu kinachofuatia ni kuwajibika tu na kosa lako..

Inapotokea mtu anatetea maovu, inamaana anayaunga mkono, NONSENSE kuwa na kipindi cha wanawake na kutetea haki za wanawake haimaanshi utetee na maovu..

muacheni mdada wa watu afanye anacho jisikia bora hajavunja sheria...!! angemtete mboni pia mngesema....!!!
 
Huyu dada ana pepo la ngono. Ukimaliza haraka kabla yake anakutukana hata mangumi anakupiga. Yeye kwake ukiwa cha kuku simu yake anaifuta hapo hapo.
We nawe huna tofauti na huyo mange
 
Sasa kosa la Joyce nn??acheni upuuzi nyie na kuwa judge watu kupitia picha

Ndege wafananao huruka kundi moja. Huyo MANGE mama yake alikuwa BEKI TATU WA MZEE KIMAMBI na huyo JOYCE KIRIA alipokuja mjini kazi ya kwanza alikuwa BEKI TATU. So wenye akili hatushangai sana. MAMA BEKI TATU ANAMTETEA MTOTO WA BEKI TATU
 
Huyu dada kipindi anaanza alikuwa vizuri lakini siku hizi anajifanya mjuaji mwanaharakati wakati harakati zenyewe hawezi amekuwa akifarakanisha ndoa nyingi.

Huku akiwashauri wanawake waachike kama yeye hana ushauri mwingine zaidi ya kuachika.

Dada amejifika vyeo ambavyo hana sifa navyo cha kushangaza ni hili la kwenda kumtetea Mange Kimambi hakuna asiyejua jinsi huyu dada anavyotukana watu kwenye blog yake.

Sasa leo hii Joyce anatoa wapi uhalali wa kumtetea au ndo kutafuta kick na kutaka sifa za kijinga.

Elimu ina umuhimu kumbe.
Mwacheni aendelee kufanya kazi nzuri anayofanya, ni wazi hawezi kuturidhisha wote ni kawaida,baadhi ya wanaume tuache kuwaona wanawake kama binadamu daraja la pili.

Kama hawakujitetea wenyewe kwa wenyewe nani atawatetea, kwani tunaona wazi wanavyonyanyaswa hata mabarabarani na mpaka kuacha kusikilizwa karibu kila mahala wanapoenda.

Inawezezekana kuna makosa anaweza kuwa anafanya lakini ndiyo binadamu tulivyo hakuna aliyekamilika, kina mama mnatakiwa mjitokeze muwe kina Kiria wengi ili muweze kudai haki zenu.
 
Ndege wafananao huruka kundi moja. Huyo MANGE mama yake alikuwa BEKI TATU WA MZEE KIMAMBI na huyo JOYCE KIRIA alipokuja mjini kazi ya kwanza alikuwa BEKI TATU. So wenye akili hatushangai sana. MAMA BEKI TATU ANAMTETEA MTOTO WA BEKI TATU

Watu kwa kujifanya wanawajua chimbuko la familia za wenzao. Hebu tuambie mama yako alikuwa nani kwa baba yako
 
Kumtetea Mange Kimambi ni sawa na kujipaka kinyesi usoni. Joyce amejidhalilisha kweli kweli
 
Mmesabaisha na mimi niitafute hiyo blog na nione kilichopo
 
Kulingana na kiwango cha elimu yake kuna vitu anafanya vizuri lakini pia vingi anakosea. Mwanzoni slifanikiwa kwa kuwa alikuwa bado hajapata mashabiki wengi na akawa makini lakini sasa nahisi amelewa sifa.... kuna kipindi alikuwa anapost vitu vya ajabu ajabu kwenye account ya wanawakelive... mara sijui mumewe kamcheketua mpaka kakimbia kitanda... mara siku hizi baada ya kumpata kungwi Mumewe anatoa dozi ya kufa mtu... akashauriwa kuwa afungue acc nyingine ya personal issues weee aligeuka mbogo... kuwa hata mambo ya cheketua ni sawa tu kwa wanawake live.... but baadae alielewa akabadilisha account.
 
MAKOMBO wote lazima wateteane....wakipondana kwenye media...ujue mtaani panachimbika
 
Back
Top Bottom